Brorey71
JF-Expert Member
- Apr 30, 2020
- 655
- 139
Kwani wewe una IQ hata??Nyani ako na IQ ngapi[emoji205][emoji205]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe una IQ hata??Nyani ako na IQ ngapi[emoji205][emoji205]
Kwani ninyi mko na kila kitu mnachohitaji? Unadhani mwenye pesa ukimkosesha kwenu hawezi kujitosheleza kwingine? Hujui kwamba kujikaza kwenu kwingi ni katika harakati ya kutafuta hela? Sina muda mchafu mimi
Ona jinsi ulivyopoteza ufahamu..chakula nimekinunua kutoka kwako niwe na njaa vipi tena??Hahah hiyo pesa unayoringia unaweza kuipata bila kula na kushiba? Sasa unakula chakula ya nani?
Teh sema uko na njaa huwezi ku engage kwenye dialouge! Kale kwanza...
Ona jinsi ulivyopoteza ufahamu..chakula nimekinunua kutoka kwako niwe na njaa vipi tena??
Je, unajua maana ya dialogue? Maadamu sidhani naweza nikawa na dialogue na mtu ambaye mwanzo haonekani kuyaelewa anayoyajibu
Mambo mapya kwangu. Labda chimbuko lake ni kule ulikoUko na utapiamlo wa fikra na afya kwa pamoja.
Mambo mapya kwangu. Labda chimbuko lake ni kule uliko
Donation. Nyinyi mnadonate kwa nani sasa? Laki tano ya Tz ni shilingi ngapi za Kenya??Hiyo inatokea kwa wale wanaotegemea food donation budaa!
Donation. Nyinyi mnadonate kwa nani sasa? Laki tano ya Tz ni shilingi ngapi za Kenya??
[emoji23]You're not completely under lock down, mnapendaga kujidanya, you were partially locked, virus wenyu wa Corona ni vampire
Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
hii alifanya demu wao mmoja mpakani,akawa analalamika jinsi alivyopewa 22000tsh kisha kununua mazaga ya kutosha,tofauti na angetumia 1000 ya kenya kununua vitu huko kwao[emoji38][emoji38][emoji38]Hebu njoo na hela ya kenya hapa bongo uipatie chenji yenye thamani ya laki tano ya bango halafu tuingie super market kufanya manunuzi tuone wapi kuna unafuu wa thamani halisi ya pesa. Thamani ya pesa ni ile inaweza kununua, sio kuwa na masifuri mengi au machache.
Nimekwambia food donation wanapewa nchi yenye utapiamlo wa fikra na afya.. sasa ushajua ni nani ako na hayo matatizo?
hii alifanya demu wao mmoja mpakani,akawa analalamika jinsi alivyopewa 22000tsh kisha kununua mazaga ya kutosha,tofauti na angetumia 1000 ya kenya kununua vitu huko kwao[emoji38][emoji38][emoji38]
Nikadhani naongea na mtu mwepesi wa kuelewa kumbe mbumbumbu.Hebu njoo na hela ya kenya hapa bongo uipatie chenji yenye thamani ya laki tano ya bango halafu tuingie super market kufanya manunuzi tuone wapi kuna unafuu wa thamani halisi ya pesa. Thamani ya pesa ni ile inaweza kununua, sio kuwa na masifuri mengi au machache.
Nimekwambia food donation wanapewa nchi yenye utapiamlo wa fikra na afya.. sasa ushajua ni nani ako na hayo matatizo?
Haswa! Ndo manake twaja huko kununua vya kutosha.hii alifanya demu wao mmoja mpakani,akawa analalamika jinsi alivyopewa 22000tsh kisha kununua mazaga ya kutosha,tofauti na angetumia 1000 ya kenya kununua vitu huko kwao[emoji38][emoji38][emoji38]
wewe ndio hujui kitu ndugu yangu.unadhani ni kujichukulia tu hizo elfu moja kama unavyoandika hapa huko kenya!!!!Nikadhani naongea na mtu mwepesi wa kuelewa kumbe mbumbumbu.
Eti laki zenu tano ni shilingi ngapi? Na zinanunua nini? Hivi wataka kusema nikija na elfu zangu zinazotoshana na laki zako hizo tano na kununua hazitakuwa na uwezo huohuo?
Hujielewi babu. Kama mkenya fulani ana uwezo wa kujichumia elfu moja kwa siku zinazothaminiwa Kama elfu ishirini Tz akija TZ huoni ana nguvu kihela kukushinda?
Ndo maana wazungu wajapo Africa wanatumia hela zao chache zinazotoshana na mamilioni Africa na kisha wananunua matani ya raw materials na kuwaacha waafrika wakifurahia madola. Siku shilingi moja ya kenya itakapotoshana na shilingi tano za Tz ndipo tunaweza kuongea.
Hujajiuliza kwa nini sarafu zinalinganishwa???
sasa tukisema tuna maisha mepesi kuwazidi kwanini mnajaa povu!!!Haswa! Ndo manake twaja huko kununua vya kutosha.
Nenda Zimbabwe ndipo utajua mnafanya michezo ya watoto. Unajua inflation ni nini?
Kubeba mihela kwenye gunia ambayo kwingine haikunufaishi.
Nikadhani naongea na mtu mwepesi wa kuelewa kumbe mbumbumbu.
Eti laki zenu tano ni shilingi ngapi? Na zinanunua nini? Hivi wataka kusema nikija na elfu zangu zinazotoshana na laki zako hizo tano na kununua hazitakuwa na uwezo huohuo?
Hujielewi babu. Kama mkenya fulani ana uwezo wa kujichumia elfu moja kwa siku zinazothaminiwa Kama elfu ishirini Tz akija TZ huoni ana nguvu kihela kukushinda?
Ndo maana wazungu wajapo Africa wanatumia hela zao chache zinazotoshana na mamilioni Africa na kisha wananunua matani ya raw materials na kuwaacha waafrika wakifurahia madola. Siku shilingi moja ya kenya itakapotoshana na shilingi tano za Tz ndipo tunaweza kuongea.
Hujajiuliza kwa nini sarafu zinalinganishwa???
Linganisha elfu na elfu mkuu. Wacha kujipoteza fahamuwewe ndio hujui kitu ndugu yangu.unadhani ni kujichukulia tu hizo elfu moja kama unavyoandika hapa huko kenya!!!!
elfu moja ni note ya mwisho kenya,haizagai mikononi mwa watu kama ulivyoandika hapa.ni pesa ya kuitafuta haswaa na ukiipata haieleweki inafanya upuuzi gani.nyumba nzuri ya kupanga hapo nairobi kwa mtu ni elfu 15,unajua nyumba ya kupanga ya laki 3 bongo inafananiaje???vip wangapi wanafanya kazi na kulipwa hizo laki tatu ni taasisi ngapi[emoji16][emoji16]
hiyo ndio nguvu ya pesa jamaa yangu.
najipoteza vip ufahamu??kila nchi ina pesa yake zinafanana majina tu.kwani unachukua muda gani kuitafuta hiyo elfu moja kenya,ni sawa na mimi ninavyoitafuta hiyo elfu moja ya tz??Linganisha elfu na elfu mkuu. Wacha kujipoteza fahamu
atajulia wapi haya wakati anaishi kwao huyu??Teh uko na utapiamlo wa fikra utaelewa nini sasa? Hapa bongo kutafuta elfu 20 ni rahisi kuliko kutafuta elfu moja hapo kenya! unajua hilo?