Brorey71
JF-Expert Member
- Apr 30, 2020
- 655
- 139
Elimu yako iko wapi???najipoteza vip ufahamu??kila nchi ina pesa yake zinafanana majina tu.kwani unachukua muda gani kuitafuta hiyo elfu moja kenya,ni sawa na mimi ninavyoitafuta hiyo elfu moja ya tz??
au hata huelewi hili.
Ukitaka kujua nguvu za fedha, chukua elfu ya kenya uipeleke Tz uone itafanya kazi gani? Hali kadhalika chukua elfu ya Tz uilete kenya uone itatekeleza yepi. Kama huna uelewa wa kimsingi hivyo siwezi kukusaidia.