Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Na wewe umezukia wapi! Tazara ni Dar mpaka Zambia kwa wakati huo, East African Airways ndiyo ilikuwa ikienda Uingereza na kiwanda cha Mang'ula ni baada ya Tazara kujengwa, cha magari Scania Kibaha japo jakikudumu.Hawa vijana wanakosa kujua mambo meengi sana ya historia.
Hawajui hata kwamba Tanzania iliwahi kuwa na kiwanda cha magari, machine tools, Mang'ula.
Shirika la ndege lililorusha ndege mpaka Heathrow International Airport. Pia reli inayounganisha nchi jirani ya Zambia, mpaka Afrika Kusini. Orodha ni ndefu sana.
Pamoja na yote viwanda vya Kenya havijawahi kufa wala kufariki kama vyetu vinavyoeksipaya kama mananasi.