Sorry nimepeleka responce kwa unknown child"Bandari yao ina deep water tofauti na mombasa au lamu, ukiwa na deep water port unaweza kuingiza na kutoa meli kwa masaa 24"
You said this [emoji115] View attachment 433980
When faeces turn to be a modern warfare.Jomba!...forget that incoherent buffoon!
Kmbe ww unaandaliwa wali? Njoo nikuandae n mm [emoji39] [emoji97] [emoji98]Tuliza mapumbu weeee!!, vipi mama ntilie hawajakuandalia ubwabwa hapo kitaa??
Port ya mombasa (Just like port ya Dar) ni inlet extending au ria , kwahivyo mawimbi yanatolewa makali meli inapokaribia habour pale kilindini, kwahivyo hakuna tofauti wa wave strength na ya dgibouti, zote ziko calm relatively, shida labda iwe wakati maji yanarudi meli ikisimama bila nanga inavutwa na maji kurudi baharini, lakini hio ni shida a kawaidaUkirudi juu utaona nilisema wave leath ndio inachangia kupata meli nyingi na sio the depth of the port, kunawakati Mombasa inashindwa kuingiza meli because ya wave is too much. Unafikiri kwanini pirates wa kisomali wanaweza kwenda deep sea na viboti vidogo, ni kwasababu bahari ya gulf of Aden imetulia.
This is were Tanga port comes in and Djibouti port also, these port respectively are shield by other objects at the sea, Tanga wanazuiwa na Pemba island, na Djibouti wanazuiwa na Gulf of Aden. Ukiwa na hiyo shield bahari yako inakuwa na mawimbi kidogo kitu ambacho unaweza hata kuweka meli katikati ya maji na ukapakia na kupakuwa.(sio lazima ije bandarini all you need is a floting dock)Port ya mombasa (Just like port ya Dar) ni inlet extending au ria , kwahivyo mawimbi yanatolewa makali meli inapokaribia habour pale kilindini, kwahivyo hakuna tofauti wa wave strength na ya dgibouti, zote ziko calm relatively, shida labda iwe wakati maji yanarudi meli ikisimama bila nanga inavutwa na maji kurudi baharini, lakini hio ni shida a kawaida
Kilindini Harbour - Wikipedia
View attachment 434113
View attachment 434114
View attachment 434117
View attachment 434118
View attachment 434122
PS: i can see what your saying that kilindini is inside Mombasa, lakini tatizo linakuja pale meli inapotaka kuingia kilindini au kutoka. Kama bahari imechafuka, itabidi wasubiri mapaka ikae sawa ndio waendelee na shughuli zao. Wakati bandari ya Djibouti na Tanga wao haitaji kusubiri. Hili tatizo litawakuja hata kwa Somalia siku wakiacha kucheza na vita yao wakaanzisha bandari. Na Djibouti imeliona hilo ndio maana wanajaribu to milk every opportunity which comes their way, from air to rail to shipping.Port ya mombasa (Just like port ya Dar) ni inlet extending au ria , kwahivyo mawimbi yanatolewa makali meli inapokaribia habour pale kilindini, kwahivyo hakuna tofauti wa wave strength na ya dgibouti, zote ziko calm relatively, shida labda iwe wakati maji yanarudi meli ikisimama bila nanga inavutwa na maji kurudi baharini, lakini hio ni shida a kawaida
Kilindini Harbour - Wikipedia
View attachment 434113
View attachment 434114
View attachment 434117
View attachment 434118
View attachment 434122
Sasa nimeshakuonyesha Mombasa port imekingwa Na we bado Una insist kutakua Na tatizo bahari ikichafuka...... Kumbuka pia pale pale Kuna ferry za likoni ambazo Hua ziko karibu Na bahari kuu yenyewe, ferry Hua ziko Na flat surface kwahivyo hazipendi mawimbi Na mi sijawahi sikia eti ferry za Mombasa zimesmamishwa sababu eti mawimbi makali.... Maji pale ndani ya kilindini Hua yametulia, infact Mombasa port uko Na portable crane ya kushusha Na kupakia mizigo kwa meli zengine bila kutia nangaPS: i can see what your saying that kilindini is inside Mombasa, lakini tatizo linakuja pale meli inapotaka kuingia kilindini au kutoka. Kama bahari imechafuka, itabidi wasubiri mapaka ikae sawa ndio waendelee na shughuli zao. Wakati bandari ya Djibouti na Tanga wao haitaji kusubiri. Hili tatizo litawakuja hata kwa Somalia siku wakiacha kucheza na vita yao wakaanzisha bandari. Na Djibouti imeliona hilo ndio maana wanajaribu to milk every opportunity which comes their way, from air to rail to shipping.
Sasa nimeshakuonyesha Mombasa port imekingwa Na we bado Una insist kutakua Na tatizo bahari ikichafuka...... Kumbuka pia pale pale Kuna ferry za likoni ambazo Hua ziko karibu Na bahari kuu yenyewe, ferry Hua ziko Na flat surface kwahivyo hazipendi mawimbi Na mi sijawahi sikia eti ferry za Mombasa zimesmamishwa sababu eti mawimbi makali.... Maji pale ndani ya kilindini Hua yametulia, infact Mombasa port uko Na portable crane ya kushusha Na kupakia mizigo kwa meli zengine bila kutia nanga
View attachment 434173
Kama mulikua mnategemea mazingira tu basi itabidi mrudi kwa meza mjipange tena, port ya Mombasa ilikua natural habour tangu enzi za waarabu Na akina Vasco dagama.... Mwaka uliooita ilipakua tani millioni 26, mwaka wa 2018 inatarajiwa kupiku south Africa kwa mizigo inayopitia bandari mwake hapa Africa.... Kisha kulingana Na takwimu za majuzi bandari ya Mombasa ilivunja rekodi kwa mda unaochukuliwa kwa meli kuwasili,kushusha mzigo Na kuanza safari (turn around time) inachukua siku tatu pekee wakati recommended average Hua Ni siku tatu masaa mawili kwahivyo Mombasa uko bora kushinda hio Djibouti yako ambayo Hua inachukua hadi wiki mbili kwenda mbele
Kenya also imports more than Ethiopia
There are two different things you have been talking about without necessarily realizing, You have been talking about general cargo(In containers) and oil..... there is cargo coming in and the posibility of crude oil from ug going out, now it is highly unlikely that any port would want to load/offload oil on an oil tanker which is at sea!!!!!!, the oil tanker will have to come to the birth where there is an oil pipeline tap, which as far as Mombasa is concerned, wont be affected by wind/tides as shown before, the Kipevu Oil Terminal is well inside the inletNimeimba weeee mpaka nachoka, mnabisha visivyo bishika. soma gazeti ya kwenu
How Kenya lost Uganda pipeline deal
View attachment 434198
This is the same situation with Djibouti, they have the same opportunity of calm ocean not calm port. Wewe unaangalia Kilindini tuu unaona maji yamepowa, toka nje ya hiyo alleyway ya kilindini into Indian ocean. kama unaweza kusimamisha meli kwenye maji ya indian ocean na utowe mzigo kwenye meli uweke kwenye flotting dock, uweze kuleta huo mzigo ndani ya Mombasa kwa meli zingine ndogo. Lakini Djibouti wanaweza hata kubeba mzigo au kushusha wakiwa ndani ya bahari because of the shield they get from Gulf of Aden. Inawasaidia hata hawana haja ya kuwa na beth nyingi bandarini, same will happen with Tanga or Bagamoyo because of the weather protection from Zanzibar islands.
There are two different things you have been talking about without necessarily realizing, You have been talking about general cargo(In containers) and oil..... there is cargo coming in and the posibility of crude oil from ug going out, now it is highly unlikely that any port would want to load/offload oil on an oil tanker which is at sea!!!!!!, the oil tanker will have to come to the birth where there is an oil pipeline tap, which as far as Mombasa is concerned, wont be affected by wind/tides as shown before, the Kipevu Oil Terminal is well inside the inlet]
Toka dar to Zambia bomba la tazamaKenya lipo kutoka Mombasa hadi Eldoret. Tanzania lipo wapi?
Nadhani hukuelewa nilichokuwa nasema, Djibouti ni tishio kwa Mombasa na Lamu, kwasababu iko Afrika na ipo karibu na nchi za kiarabu na nchi za ulaya. Kwasababu wako Afrika na Afrika ndio kwenye rasilimali nyingi, Djibouti walisha amuwa kubadili nchi yao kuwa the biggest logisic center ya Afrika. Hii sio tishio kwa kenya peke yake, ni tishio kwa Dubai, Istambul na Cairo. Wameanza kupanuwa airline yao, wachina wanajenga naval base ya kwanza nje ya China. Wamesha jenga reli mpaka Addis Ababa, wanajenga bomba la mafuta kwenda Ethiopia wakitegemea kulifikisha Sudan kusini. bandari yao ni deep water tofauti na Mombasa au Lamu, ukiwa na deep water port, unaweza kuingiza meli na kutoa msaa 24.
Sasa wewe kijana, unafikiri wachina watakaa tuu na wewe uje uchukue kilicho ndani bila kukupa stop. Hakuna nchi iliyo protective of their internal Market like China. Ethiopia inafuatia kwa kulinda masoko yake. Kila mtu anatamani kuweka pesa yake hiko lakini wanakutana na mageti makali ya protectionlisim. Kumbuka kilicho ongelewa kwenye uzi huo ni jinsi Djibouti imepania kuchukuwa soko la logistics kwenye horn of Africa (and Djibouti ni nchi ya Afrika). Wewe unazungumzia waarabu na wachina, usijidanganye kama economy ya waarabu na Turkey zimeshuka kwasababu ya population decline, kumbuka kwamba wao bado wameshikilia pesa ya dunia kwa hivi sasa. Wanaweza kukununuwa wewe na familia yako yote ukaishi huko, jina na dini waka kubadilisha kama wale wakimbiaji wa Kenya walio huko na majina mapya.Alamsiki!,
Weye ndiye hukuelewa chochote kwenye bandiko langu...hao wote uliowataja sijui,nchi za ulaya na Arabuni si chochote mbele ya mchina pamoja na hela zote alizonazo na idadi ya watu, mwenye kuunga moja kwa moja na CHINA ndiye atakayeshinda.
Vipi weye wanitajia watu wameshatetereka kiuchumi tena miaka mingi iliyopita ,ambao hata idadi ya watu wao inadidimia na imesha futika kabisa.....hawana consuming power wala population tena...hao wazungu wa ulaya pamoja na waarabu.
China ndiye mziki wote wee jamaa!
Hao Djibouti hata wakiunganisha njia yao kuu kule Arabuni na Ulaya bado sifuri tu!
Sasa wewe kijana, unafikiri wachina watakaa tuu na wewe uje uchukue kilicho ndani bila kukupa stop. Hakuna nchi iliyo protective of their internal Market like China. Ethiopia inafuatia kwa kulinda masoko yake. Kila mtu anatamani kuweka pesa yake hiko lakini wanakutana na mageti makali ya protectionlisim. Kumbuka kilicho ongelewa kwenye uzi huo ni jinsi Djibouti imepania kuchukuwa soko la logistics kwenye horn of Africa (and Djibouti ni nchi ya Afrika). Wewe unazungumzia waarabu na wachina, usijidanganye kama economy ya waarabu na Turkey zimeshuka kwasababu ya population decline, kumbuka kwamba wao bado wameshikilia pesa ya dunia kwa hivi sasa. Wanaweza kukununuwa wewe na familia yako yote ukaishi huko, jina na dini waka kubadilisha kama wale wakimbiaji wa Kenya walio huko na majina mapya.
Sikujuwa kama umeshaanza kujifunza kiarabu, mpaka matusi ya kiarabu unayajua (kelb waheed) your halfway there. Inshallah Sheikh Tim Choice [emoji60]Mimi sinunuliwi na hela ewe zumbekuku la kitanganyika!....eti nikabadilishwe jina na dini, mimi simo kwenye hizo dini zenyu za kipumbavu mlizoaminishana wanadamu afadhali hata hayawani........nonesense!
Kajiuze mwenyewe kwa hao waarabu wako pamoja na familia yako ,kalb wahed!