joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Umeshindwa kuketa ushahidi, kuanzia sasa hivi kama huna ushahidi hapa JF nyamaza kimya, hapa ni sehemu ya great thinkers, kuna forum inaitwa Kiliman dady and mumms, huko ndiko unaweza kuzungumza bila kutoa ushahidi wowote.Povuuuu, hadi unatusi shirika nzima la KQ. Fanya utafiti wako jombaa, hiyo si kazi yangu. KQ na Air Tz wapi na wapi? Kichwa chako kinafaa kufanyiwa format, you are mental! Acha kutumia hard drugs!
Creditors wakiongeza muda inaonesha mlivo wadhaifu wakuonewa huruma. Kenya hatukuwagi mavictim jombaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]achana nao hao. KQ iliwapigia magoti wakopeshaji ili wawe shareholders, wakakubali nao sasa wanajiita KQ lenders holding company. sasa wakishindwa tena kulipa deni la SGR watawaomba Wachina wawe shareholders wa GDP yao.
teh teh teh teh tihiii
Not really.. you actually bring money here..Itabidi mtupokee na si tafadhali we have invested heavily in your Country na pia tunatalii huko so we literally feed you.
Mmetuchapa wapi bana. We sasa ndo umetoka kubugia mbege nini? Huoni chizi mwenzako anavoleta ma'evidence' ambayo hayaeleweki? Tz mnafaa kujifanaisha na ndugu zenu Malawi au Afghanistan. Kenya ipo ligi ingine asee.
Hatujakataa.. endeleeni kutuletea investments we actually need a lot of it.We jamaa dish lilishayumba zamani nini? Au ni bolt zilidondoka? Naona unachanganya investment ya wakenya tz na waafrika kwenda kutafuta ajira Europe. Huo uchumi wa tz sisi ndo tunaukuza kwa kuwaletea hela maanake vyuma vimekaza serious. Tunawatengenezea ajira angalau mbaki na chenji mfukoni. Kama tunawategemea kwa chakula nyie mnatutegemea kwa hela. Usijali jombaa, hela za ku'improve' miundo mbinu yenu na kujenga kasgr tutawaletea tu. We unaona masihara miaka mitano ikipita uchumi wenu utakuwa umeshikiliwa na wakenya. Mtakuwa mnatuchapia kazi kila uchao hela zinakuja Kenya. Unajifanya hufahamu nyang'au vizuri?
Hahahahahahaha ati USA na Australia ???1)Bombadier Q400. hizi zipo 3 kwa ajili ya domestic and within EAC, Zambia, DRC, Mozambique, Comorro and Sychelles. Mbili zimefika, moja imezuiliwa Canada, soon itafika
2)Bombadier C300' hizi zipo 2' tunategemea zitawasili zote kwa pamoja July 2018, capacity 160 psg. Hizi ni kwa ajili ya masafa ya kati, Dubai, South Afrika, Northen and Western African regions.
3)Dream liners Boeing 787 zipo mbili, hizi ni kwa ajili ya masafa marefu, China, Europe, US and Australia.
Umeshindwa kuketa ushahidi, kuanzia sasa hivi kama huna ushahidi hapa JF nyamaza kimya, hapa ni sehemu ya great thinkers, kuna forum inaitwa Kiliman dady and mumms, huko ndiko unaweza kuzungumza bila kutoa ushahidi wowote.
Sasa unaniitisha ushahidi wa mambo ya kipuuzi afu unangoja nini? Afu unaniitisha ushahidi kama nani? Wewe mwenyewe hapo ni thinker kweli? Au ni psycho flani tu. Afu sijui dady na mumms ni nini. Au ulimaanisha mumps, ule ugonjwa wa kuvimba mashavu?Umeshindwa kuketa ushahidi, kuanzia sasa hivi kama huna ushahidi hapa JF nyamaza kimya, hapa ni sehemu ya great thinkers, kuna forum inaitwa Kiliman dady and mumms, huko
Jamaa 2017/18 financial year serikali imetoa only Tsh 290b kwenda kwenye sgr usitufanye wajingaUjenzi wa reli Morogoro mpaka Dodoma kuanza | Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Tutaendelea kuwaelimisha kwasababu uwezo wenu wa akili ni mdogo
1)Phase one ni kati ya Dar - Morogoro, costs $1.2B, ujenzi umeshaanza, mkataba ni kwamba mkandarasi atapata down payment of about 25% mwanzoni, akimaliza kazi atamaliziwa 75%{hiyo 25% pia italipwa in phases}
2)Second phase ni Morogoro hadi Dodoma, costs $1.9B, mkandarasi ni yule yule, ameshalipwa advance payment, yupo katika mobilazation stage, ujenzi kuanza rasmi this month.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anachekesha kweli jamaaHahahahahahaha ati USA na Australia ???
Sasa kama tutakua tunazungumza mambo bila ushahidi itakuwaje?, unataka ukisema kitu tuamini bila kuthibitisha, sidhani hata wewe unaweza kuamini nitakalo sema bila kuomba ushahidi, ngoja nijaribu nione kama utaniamini bila kuomba ushahidi; kuanzia leo ninakuambia mimi ni baba yako mzazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa unaniitisha ushahidi wa mambo ya kipuuzi afu unangoja nini? Afu unaniitisha ushahidi kama nani? Wewe mwenyewe hapo ni thinker kweli? Au ni psycho flani tu. Afu sijui dady na mumms ni nini. Au ulimaanisha mumps, ule ugonjwa wa kuvimba mashavu?
KQ,ni yenu,ww ndio unatakiwa utuambie kuihusu na sio kuonyesha hasira.Povuuuu, hadi unatusi shirika nzima la KQ. Fanya utafiti wako jombaa, hiyo si kazi yangu. KQ na Air Tz wapi na wapi? Kichwa chako kinafaa kufanyiwa format, you are mental! Acha kutumia hard drugs!
Pamoja mkuujoto la jiwe
Bitter pill
duuu hili jukwaa raha kweli, siyo tu kwa jinsi tunavyowachapa watani wetu wa hadi, bali evidence zinavyoletwa kwenye mada.
bravo guys.
Hasira kwani unaniona? Swallow the bitter pill my friend, tz is a least developed shithole country! πππKQ,ni yenu,ww ndio unatakiwa utuambie kuihusu na sio kuonyesha hasira.
Wewe unajifanya mjinga mwenyewe kwasababu unajijua wewe ni mjinga, katika ujenzi wowote duniani wa miundo mbinu kama hii, contractor analipwaje?, hadi akabidhi mradi ambao umekidhi viwango vilivyokubalika ktk mkataba ndiyo analipwa pesa yake, huwa anatanguliziwa kiasi kidogo tu mwanzoni kwa ajili ya mobilization stage, sasa kama hajalipwa kwanini anaendelea na kazi?, wapi umeona analalamika?, au wewe ni mke wake, usiku mkiwa kitandani anakuambia hajalipwa?Jamaa 2017/18 financial year serikali imetoa only Tsh 290b kwenda kwenye sgr usitufanye wajinga
Babangu mzazi hatoki LDC, na usiniitishe ushahidi wa hilo. Maanake unataka ushahidi hata kwa maoni yangu tu. Leta ushahidi kwamba kutoka leo hutaki ushahidi. ππSasa kama tutakua tunazungumza mambo bila ushahidi itakuwaje?, unataka ukisema kitu tuamini bila kuthibitisha, sidhani hata wewe unaweza kuamini nitakalo sema bila kuomba ushahidi, ngoja nijaribu nione kama utaniamini bila kuomba ushahidi; kuanzia leo ninakuambia mimi ni baba yako mzazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa povu hili, inaonyesha umuhimu wa kutoa ushahidi kwa lile unalolisema umeelewa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Babangu mzazi hatoki LDC, na usiniitishe ushahidi wa hilo. Maanake unataka ushahidi hata kwa maoni yangu tu. Leta ushahidi kwamba kutoka leo hutaki ushahidi. πππ
Kwenye pipeline mlikenua meno hivyo, na sasa mnalia,subirini na hili.[emoji23] [emoji23] [emoji23] anachekesha kweli jamaa