Kenya's GDP debt ratio hit 60%

Kenya's GDP debt ratio hit 60%

Povuuuu, hadi unatusi shirika nzima la KQ. Fanya utafiti wako jombaa, hiyo si kazi yangu. KQ na Air Tz wapi na wapi? Kichwa chako kinafaa kufanyiwa format, you are mental! Acha kutumia hard drugs!
Umeshindwa kuketa ushahidi, kuanzia sasa hivi kama huna ushahidi hapa JF nyamaza kimya, hapa ni sehemu ya great thinkers, kuna forum inaitwa Kiliman dady and mumms, huko ndiko unaweza kuzungumza bila kutoa ushahidi wowote.
 
achana nao hao. KQ iliwapigia magoti wakopeshaji ili wawe shareholders, wakakubali nao sasa wanajiita KQ lenders holding company. sasa wakishindwa tena kulipa deni la SGR watawaomba Wachina wawe shareholders wa GDP yao.
teh teh teh teh tihiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Itabidi mtupokee na si tafadhali we have invested heavily in your Country na pia tunatalii huko so we literally feed you.
Not really.. you actually bring money here..

Wachina ndio wana wa feed na unga wa bure.
 
Mmetuchapa wapi bana. We sasa ndo umetoka kubugia mbege nini? Huoni chizi mwenzako anavoleta ma'evidence' ambayo hayaeleweki? Tz mnafaa kujifanaisha na ndugu zenu Malawi au Afghanistan. Kenya ipo ligi ingine asee.

wewe sijawahi ona unatoa hoja iliyojengeka vyema. siku zote unatoa mashudu tu.
 
We jamaa dish lilishayumba zamani nini? Au ni bolt zilidondoka? Naona unachanganya investment ya wakenya tz na waafrika kwenda kutafuta ajira Europe. Huo uchumi wa tz sisi ndo tunaukuza kwa kuwaletea hela maanake vyuma vimekaza serious. Tunawatengenezea ajira angalau mbaki na chenji mfukoni. Kama tunawategemea kwa chakula nyie mnatutegemea kwa hela. Usijali jombaa, hela za ku'improve' miundo mbinu yenu na kujenga kasgr tutawaletea tu. We unaona masihara miaka mitano ikipita uchumi wenu utakuwa umeshikiliwa na wakenya. Mtakuwa mnatuchapia kazi kila uchao hela zinakuja Kenya. Unajifanya hufahamu nyang'au vizuri?
Hatujakataa.. endeleeni kutuletea investments we actually need a lot of it.

Tangu lini nchi ikakataa investments?

Njooni na kampuni zenu.. fungueni ofisi, ajirini waTZ lipeni kodi.. Our GDP rises..

Ila inasikitisha sana Middle Income Country manaletewa msosi na waChina.

Daah.. yani jamaa waliwaingiza chaka kwenye reli now wanawalisha.

Middle Income Country my foot [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1)Bombadier Q400. hizi zipo 3 kwa ajili ya domestic and within EAC, Zambia, DRC, Mozambique, Comorro and Sychelles. Mbili zimefika, moja imezuiliwa Canada, soon itafika
2)Bombadier C300' hizi zipo 2' tunategemea zitawasili zote kwa pamoja July 2018, capacity 160 psg. Hizi ni kwa ajili ya masafa ya kati, Dubai, South Afrika, Northen and Western African regions.
3)Dream liners Boeing 787 zipo mbili, hizi ni kwa ajili ya masafa marefu, China, Europe, US and Australia.
Hahahahahahaha ati USA na Australia ???
 
Umeshindwa kuketa ushahidi, kuanzia sasa hivi kama huna ushahidi hapa JF nyamaza kimya, hapa ni sehemu ya great thinkers, kuna forum inaitwa Kiliman dady and mumms, huko ndiko unaweza kuzungumza bila kutoa ushahidi wowote.
Umeshindwa kuketa ushahidi, kuanzia sasa hivi kama huna ushahidi hapa JF nyamaza kimya, hapa ni sehemu ya great thinkers, kuna forum inaitwa Kiliman dady and mumms, huko
Sasa unaniitisha ushahidi wa mambo ya kipuuzi afu unangoja nini? Afu unaniitisha ushahidi kama nani? Wewe mwenyewe hapo ni thinker kweli? Au ni psycho flani tu. Afu sijui dady na mumms ni nini. Au ulimaanisha mumps, ule ugonjwa wa kuvimba mashavu?
 
Ujenzi wa reli Morogoro mpaka Dodoma kuanza | Magazeti ya Tanzania - Tanzania Newspapers | Magazetini
Tutaendelea kuwaelimisha kwasababu uwezo wenu wa akili ni mdogo
1)Phase one ni kati ya Dar - Morogoro, costs $1.2B, ujenzi umeshaanza, mkataba ni kwamba mkandarasi atapata down payment of about 25% mwanzoni, akimaliza kazi atamaliziwa 75%{hiyo 25% pia italipwa in phases}
2)Second phase ni Morogoro hadi Dodoma, costs $1.9B, mkandarasi ni yule yule, ameshalipwa advance payment, yupo katika mobilazation stage, ujenzi kuanza rasmi this month.
Jamaa 2017/18 financial year serikali imetoa only Tsh 290b kwenda kwenye sgr usitufanye wajinga
 
Sasa unaniitisha ushahidi wa mambo ya kipuuzi afu unangoja nini? Afu unaniitisha ushahidi kama nani? Wewe mwenyewe hapo ni thinker kweli? Au ni psycho flani tu. Afu sijui dady na mumms ni nini. Au ulimaanisha mumps, ule ugonjwa wa kuvimba mashavu?
Sasa kama tutakua tunazungumza mambo bila ushahidi itakuwaje?, unataka ukisema kitu tuamini bila kuthibitisha, sidhani hata wewe unaweza kuamini nitakalo sema bila kuomba ushahidi, ngoja nijaribu nione kama utaniamini bila kuomba ushahidi; kuanzia leo ninakuambia mimi ni baba yako mzazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Povuuuu, hadi unatusi shirika nzima la KQ. Fanya utafiti wako jombaa, hiyo si kazi yangu. KQ na Air Tz wapi na wapi? Kichwa chako kinafaa kufanyiwa format, you are mental! Acha kutumia hard drugs!
KQ,ni yenu,ww ndio unatakiwa utuambie kuihusu na sio kuonyesha hasira.
 
Jamaa 2017/18 financial year serikali imetoa only Tsh 290b kwenda kwenye sgr usitufanye wajinga
Wewe unajifanya mjinga mwenyewe kwasababu unajijua wewe ni mjinga, katika ujenzi wowote duniani wa miundo mbinu kama hii, contractor analipwaje?, hadi akabidhi mradi ambao umekidhi viwango vilivyokubalika ktk mkataba ndiyo analipwa pesa yake, huwa anatanguliziwa kiasi kidogo tu mwanzoni kwa ajili ya mobilization stage, sasa kama hajalipwa kwanini anaendelea na kazi?, wapi umeona analalamika?, au wewe ni mke wake, usiku mkiwa kitandani anakuambia hajalipwa?
 
Sasa kama tutakua tunazungumza mambo bila ushahidi itakuwaje?, unataka ukisema kitu tuamini bila kuthibitisha, sidhani hata wewe unaweza kuamini nitakalo sema bila kuomba ushahidi, ngoja nijaribu nione kama utaniamini bila kuomba ushahidi; kuanzia leo ninakuambia mimi ni baba yako mzazi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babangu mzazi hatoki LDC, na usiniitishe ushahidi wa hilo. Maanake unataka ushahidi hata kwa maoni yangu tu. Leta ushahidi kwamba kutoka leo hutaki ushahidi. 😀😀
 
Babangu mzazi hatoki LDC, na usiniitishe ushahidi wa hilo. Maanake unataka ushahidi hata kwa maoni yangu tu. Leta ushahidi kwamba kutoka leo hutaki ushahidi. 😀😀😀
Kwa povu hili, inaonyesha umuhimu wa kutoa ushahidi kwa lile unalolisema umeelewa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom