Kenya's GDP debt ratio hit 60%

Kwa mapovu hamujambo. Nmecheka sana japo nimejifunza mengi sana
Inaitwa Kenyan News. 😀😀😀 Usione tunachapana makonde kama WWIII ukadhani tuna chuki na mtu. Gumzo mitaani tu. Wenzako wanatoa povu extra leo, sijui kunani? 🙂
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,dah!
 
Kwa povu hili, inaonyesha umuhimu wa kutoa ushahidi kwa lile unalolisema umeelewa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Wewe nawe bana leta ushahidi kwamba hilo ni povu au unataka tuamini tu kwasababu umeeka emoji kama 50? Kila kitu sasa kinataka ushahidi. Mambo ya joto la jiwe hayo. 😀😀😀
 
Karne hii,LMC,mnakufa kwa njaa,mnauana kwa ukabila, mnapokea food donation kutoka nchi ya kijamaa,now who is 'shithole'?
umesahau yule rais mwingine atakayeapishwa January 30, 2018 eti na bunge la wananchi. duu mido inkamu bana.
 
Karne hii,LMC,mnakufa kwa njaa,mnauana kwa ukabila, mnapokea food donation kutoka nchi ya kijamaa,now who is 'shithole'?
You are the bigger shithole for consuming albino meat and being led by a dictator.
 
umesahau yule rais mwingine atakayeapishwa January 30, 2018 eti na bunge la wananchi. duu mido inkamu bana.
My friend don't change the channel, acha tungoje hiyo januari 30. I also can't wait!
 
You are the bigger shithole for consuming albino meat and being led by a dictator.
Albino are attached in both countries kenya n TZ.
How is our President a dictator? do you have a clue that UHURUTO r eagerly wanted at ICC after their terms elapse?endeleni kufuga criminals state house

Albinos are holed up in Kenya after running away from tz. Hehe ati ICC wants who? Let them come and take them.
 
Kweli ni fala kwahyo kenya sio masikini ,?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa kukopa huko usijae upepo
 
You are the bigger shithole for consuming albino meat and being led by a dictator.

teh teh teh teh teh tihiii
ukiona hivi ujue hoja kwisha kabisa kichwani.
amehama toka hoja ya debt to GDP ratio hadi kwenye povu.
 
Naona nimekugusa pabaya ndio maana, kwa mara ya kwanza naona ukitokwa na povu katika kila tundu la mwili. Nilidhani wewe ni kompyuta kwani unajibu maswali yote unayoulizwa. Unashinda JF usiku na mchana. Hujawahi kuwa mgonjwa au kuenda safari. Kila siku uko JF ukijibishana na watu. Umejaza server, kama ni kitabu, ungekuwa umeandika kitabu cha kurasa 10, 000. It is a waste of your talent my friend. With such passion for writing, you should have been either an academic or a serious author. Mimi kupata dakika 30 ya kuja hapa JF ni tabu lakini wewe, huku ndio nyumbani. Ama pengine wewe ni kompyuta na kazi yako ni kujibu kila mtu hapa JF. Hongera Toshiba Pentium 4 duo core, Windows 10.
 
teh teh teh teh teh tihiii
ukiona hivi ujue hoja kwisha kabisa kichwani.
amehama toka hoja ya debt to GDP ratio hadi kwenye povu.
teh teh teh teh teh tihiii
ukiona hivi ujue hoja kwisha kabisa kichwani.
amehama toka hoja ya debt to GDP ratio hadi kwenye povu.
Naona hoja yako ya teh teh tihi tihi inanoga sana. Asee usiwe unarukia comment ambazo zilikuwa zinaelekezwa kwa mtu mwingine bila ya kufata mjadala wenyewe kutoka mwanzo. Its just dumb.
 
Povu
 
Naona hoja yako ya teh teh tihi tihi inanoga sana. Asee usiwe unarukia comment ambazo zilikuwa zinaelekezwa kwa mtu mwingine bila ya kufata mjadala wenyewe kutoka mwanzo. Its just dumb.

kaka don't take on yourself and try to derail the topic. the issue at hand is the Kenya debt to GDP ratio hits 60%.
teh teh teh tihiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…