Katika watu wapuuzi na wajinga, wewe unaweza kuongoza humu JF, sisi hatujali mnakusanya pesa kiasi gani, tunachotaka kujua ni hizo pesa zinafanya nini, sio kujisifia unakusanya pesa wakati huna chakula, sasa hiyo pesa mnayokusanya inawasaidiaje kama hata kurudisha mikopo mnashindwa?
Wewe akili yako ni hovyo kabisa, hakuna nchi yoyote ile duniani ambayo inakopa pesa ili kulipa madeni ya nyuma, au kulipa recurrent expenditures, nchi ikifikia kiwango hicho, basi ujue hiyo nchi uchumi wake haukui kiasi cha kuweza kulipa madeni na haikopesheki tena na inakaribia kufilisika
Wewe akili yako ni boya kabisa, hivi unadhani Bill Gate hata deni lake likiwa ni 300% atakuwa sawa na wewe ambaye deni lako ni 1%?, wewe hata kama hudaiwi chochote bado hukopesheki, wakati Bill Gate bado ataendelea kukopesheka hata deni lake likifika 500%.