mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Maybe in modern times but I think its an old technology just re invented recently.Nani anapinga hili: Reinforced concrete ni baadhi ya uvumbuzi 25 muhimu katika historia ya binadamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maybe in modern times but I think its an old technology just re invented recently.Nani anapinga hili: Reinforced concrete ni baadhi ya uvumbuzi 25 muhimu katika historia ya binadamu.
Thika Road was a dual carriage way back in 1989.......I told Geza Ulole that what they enjoy at this very moment was enjoyed by me as a young boy.When? Kila mara nyinyi kuimba huu wimbo wa sijui "short time", "soon", "hivi karibuni"
Dar bado kabisa. Mnajizatiti tu kujenga katti kati mwa jiji, lakini na mitaa je?
Mtafikia Nairobi lini, Dar kuwe na CBDs kama hizi hapa?
Nairobi CBD
![]()
![]()
Parklands District
![]()
Westlands District
![]()
Hurlingham District
![]()
Eastleigh District
![]()
Pamoja na mitaa ya makazi sampuli hii....
![]()
Bado mko mbali sana! Mjipe angalau 50yrs kufikia Nbi ilivyo kwa sasa.....
![]()
Weka barabara kama hii Bongo if you cant shut the F**k UP.Hehehehe, kaka unahangaika bure, that design is old school,
BTW how much did it cost?
Thika Road was a dual carriage way back in 1989.......I told Geza Ulole that what they enjoy at this very moment was enjoyed by me as a young boy.
very true, its been around since before christ. But in its modern form, it has transformed the way people build structures compared to centuries past.Maybe in modern times but I think its an old technology just re invented recently.
From a reliable source this dual carriage road in Tanzania dates way back before 1989 and the new Thika-like road/highway/Flyover is in use linking other parts of Tanzania with the main sea port of Dar-es-Salaam.
Julius K. Nyerere Road, Dar es Salaam, Tanzania
Source: Ever ELevating
Wewe ndyo una hangover, kwa akili yko utaweza kucompared PSPF Twins tower na Lutheran church [emoji23][emoji23][emoji23]See, Hahaha. Hakuna kitu umelewa.Lol! Safe me some breath
Dead [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani nyie manyang'au huu uchafu ndo mnakuja jisifia humu ndani...
Kenya's UAP is standing at 163 m
PSPF goes up to 153 m
TPA is at 160 m
So Kenya ndio baba na mama wa ukanda huu.
When? Kila mara nyinyi kuimba huu wimbo wa sijui "short time", "soon", "hivi karibuni"
Dar bado kabisa. Mnajizatiti tu kujenga katti kati mwa jiji, lakini na mitaa je?
Mtafikia Nairobi lini, Dar kuwe na CBDs kama hizi hapa?
Nairobi CBD
![]()
![]()
Parklands District
![]()
Westlands District
![]()
Hurlingham District
![]()
Eastleigh District
![]()
Pamoja na mitaa ya makazi sampuli hii....
![]()
Bado mko mbali sana! Mjipe angalau 50yrs kufikia Nbi ilivyo kwa sasa.....
![]()
Wewe ndyo una hangover, kwa akili yko utaweza kucompared PSPF Twins tower na Lutheran church [emoji23][emoji23][emoji23]
kujiteKENYANyie watu mnapenda kujitekenya na kucheka wenyewe!
kujiteKENYA
whats so special about pspf kando na hizo rangirangi nyingi....mnadanganyika na marangiWewe ndyo una hangover, kwa akili yko utaweza kucompared PSPF Twins tower na Lutheran church [emoji23][emoji23][emoji23]
you will never beat nai.....road za nai hamuezani nazo.skyscraper nai yamezidi dar.ata yale yanajengwa nai ni mob kushinda dar.flyovers zinajengwa nai ni mob pia.residential areas za nai hata hamjazisogelea.just keep on dreaming ten years later tutakua tu apa God willingNairobi tungewaacha ndani ya miaka 5-10 ijayo sema huyu jamaa aliyeingia Magogoni hivi sasa; atasababisha Nairobi waongeze gap ambalo tulishalipunguza kwa kiasi kikubwa! Government institutions zitaogopa kufanya massive investment in real estate na hapo ndipo tutaanza kuachwa kama times tumesimama!!