Kenya's highest building opens for business

Nani anapinga hili: Reinforced concrete ni baadhi ya uvumbuzi 25 muhimu katika historia ya binadamu.
Maybe in modern times but I think its an old technology just re invented recently.
 
When? Kila mara nyinyi kuimba huu wimbo wa sijui "short time", "soon", "hivi karibuni"

Dar bado kabisa. Mnajizatiti tu kujenga katti kati mwa jiji, lakini na mitaa je?

Mtafikia Nairobi lini, Dar kuwe na CBDs kama hizi hapa?

Nairobi CBD

34753599.jpg

13532030_1774936289387227_320736326_n.jpg

Parklands District

nairobi-helicopter-1.jpg

Westlands District

12446300_238917606459340_707212197_n-jpg.345776

Hurlingham District

13298090_877071979088295_909717718_n.jpg

Eastleigh District

IMG_322322-EFE218-333E84-D62B57-7A58A0-4D095B.jpg

Pamoja na mitaa ya makazi sampuli hii....
cropped-nairobi.jpg

Bado mko mbali sana! Mjipe angalau 50yrs kufikia Nbi ilivyo kwa sasa.....

putin-laughing-610x350.jpg
Thika Road was a dual carriage way back in 1989.......I told Geza Ulole that what they enjoy at this very moment was enjoyed by me as a young boy.
 
From a reliable source this dual carriage road in Tanzania dates way back before 1989 and the new Thika-like road/highway/Flyover is in use linking other parts of Tanzania with the main sea port of Dar-es-Salaam.

Julius K. Nyerere Road, Dar es Salaam, Tanzania

Source: Ever ELevating
 
Maybe in modern times but I think its an old technology just re invented recently.
very true, its been around since before christ. But in its modern form, it has transformed the way people build structures compared to centuries past.
 
From a reliable source this dual carriage road in Tanzania dates way back before 1989 and the new Thika-like road/highway/Flyover is in use linking other parts of Tanzania with the main sea port of Dar-es-Salaam.

Julius K. Nyerere Road, Dar es Salaam, Tanzania

Source: Ever ELevating

How long is this little road of yours? Can it even host a half marathon?
Thika Road was 62 kilometers long as at 1996.
 
See, Hahaha. Hakuna kitu umelewa.Lol! Safe me some breath
Wewe ndyo una hangover, kwa akili yko utaweza kucompared PSPF Twins tower na Lutheran church [emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: MC7
When? Kila mara nyinyi kuimba huu wimbo wa sijui "short time", "soon", "hivi karibuni"

Dar bado kabisa. Mnajizatiti tu kujenga katti kati mwa jiji, lakini na mitaa je?

Mtafikia Nairobi lini, Dar kuwe na CBDs kama hizi hapa?

Nairobi CBD

34753599.jpg

13532030_1774936289387227_320736326_n.jpg

Parklands District

nairobi-helicopter-1.jpg

Westlands District

12446300_238917606459340_707212197_n-jpg.345776

Hurlingham District

13298090_877071979088295_909717718_n.jpg

Eastleigh District

IMG_322322-EFE218-333E84-D62B57-7A58A0-4D095B.jpg

Pamoja na mitaa ya makazi sampuli hii....
cropped-nairobi.jpg

Bado mko mbali sana! Mjipe angalau 50yrs kufikia Nbi ilivyo kwa sasa.....

putin-laughing-610x350.jpg

Nyie watu mnapenda kujitekenya na kucheka wenyewe!
 
Wewe ndyo una hangover, kwa akili yko utaweza kucompared PSPF Twins tower na Lutheran church [emoji23][emoji23][emoji23]

Hehehe. See..you don't understand a thing.I said PSPf is a tower alright but in terms of aesthetics, Lutheran is waaay better. Welcome to the world you empty slate!
 
Hivi Hawa watu wa apo Kenya dar wanahisi ni apo mombasa nn? Embu acheni kujidanganya dar ni mji mkubwa mno mnachotuzidi nyie mi sikioni wala....
 
Nairobi tungewaacha ndani ya miaka 5-10 ijayo sema huyu jamaa aliyeingia Magogoni hivi sasa; atasababisha Nairobi waongeze gap ambalo tulishalipunguza kwa kiasi kikubwa! Government institutions zitaogopa kufanya massive investment in real estate na hapo ndipo tutaanza kuachwa kama times tumesimama!!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hlo gofu lenu Kenya haliwez hata kufikia Victoria place, Shame on them

bc7ddfe96712a7dfd99b9a2643ebbafd.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wewe ndyo una hangover, kwa akili yko utaweza kucompared PSPF Twins tower na Lutheran church [emoji23][emoji23][emoji23]
whats so special about pspf kando na hizo rangirangi nyingi....mnadanganyika na marangi
 
Nairobi tungewaacha ndani ya miaka 5-10 ijayo sema huyu jamaa aliyeingia Magogoni hivi sasa; atasababisha Nairobi waongeze gap ambalo tulishalipunguza kwa kiasi kikubwa! Government institutions zitaogopa kufanya massive investment in real estate na hapo ndipo tutaanza kuachwa kama times tumesimama!!
you will never beat nai.....road za nai hamuezani nazo.skyscraper nai yamezidi dar.ata yale yanajengwa nai ni mob kushinda dar.flyovers zinajengwa nai ni mob pia.residential areas za nai hata hamjazisogelea.just keep on dreaming ten years later tutakua tu apa God willing
 
Back
Top Bottom