Hawapi kwa apartment nairobi haigusi dar hata kidogo.upanga yote imejaa apartment na ni majengo makubwa sana.nairobi nyie mna nyumba za chini nyingi.tuseme dar inaizid nairobi kwa magorofa mengi nyie mnaizidi dar kwa vinyumba vya chin.alaf wakati nyie mnajenga vicheap flyover dar wamejenga daraja kubwa hakuna east africa.
acheni ushamba wakenya kwa kupenda kusifia vyenu huku mkiona wengine hamna kitu.na ukitaka kujua mnapenda sifa angalia jinsi mnavosifia mlima kilimanjaro na wakati hata haupo kwenu,au mnavopenda kusifia wildbeest migration kutoka serengeti kuja eneo dogo la masai mara kila mtu atajua kuwa mnasifia.wakati wanyama wanaishi serengeti na huko wanakuja mda mfupi tena wanarudi kwao serengeti.lakin nyie ni misifa tuu.kila sehemu.kwaio hatushangai mnavosifia nairobi ivo.
View attachment 419068tafuta image nzuri kama hii kqma utaiona nairobi hamna kabisa