Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,224
Obsolete
SA-3? hivi unajua Hamas wako na SA-11, ni siku gani umemskia Israel imeshindwa kuvamia hamas
Picha yenyewe si ya TZ umeitoa hapa
Almaz 5V24/5V27/S-125 Neva/Pechora / SA-3 Goa / Зенитный Ракетный Комплекс 5В24/5В27/С-125 Нева/Печора
Kenay Air Defense
SA-11 (Buk-M1) surface-to-air missiles
Rapier surface-to-air missiles
Tigercat surface-to-air missiles
Mistral surface-to-air missiles
Zote hizo ni obsolete
Sentensi mbili za ukweli mtupu ndo kelele? Ni mathara ya udikteta nini? Haya basi acha wavaa gumboot waendelee tu kuvunja matofali sisi tutazidi kusonga mbele!Mbona kelele nyingi kwenye swali simple tu.
Hakuna kitu chochote Kenya, zaidi sana ni wizi.
Okay. Kwahiyo siyo SA-3?Hii sio SAM ni "Russian GSP" heavy duty Amphibian Ferry.
ndioo hii hapa!
Basi songeni mbele. Hakuna anaye wakataza.Sentensi mbili za ukweli mtupu ndo kelele? Ni mathara ya udikteta nini? Haya basi acha wavaa gumboot waendelee tu kuvunja matofali sisi tutazidi kusonga mbele!
Tuna vitu vya mapanki kibao !poa, poa, Babake mapanki dah.
He, nani ankurukupwa sasa? Utaumwa na moyo bure... Hiyo ni profile ya UN, link yenyewe ni ya UN peacekeeping hao ndo wanatakwimu za kila mwanajeshi aliyetumwa UN kutoka kwa kila nchi ingia ujitafutie nchi yako iko wapi na wapi
Providing for Peacekeeping
Aliyekuomba ruhusa ni nani? Ninachosema ni mkome kabisa kuwafananisha wezi wa mifugo jwtz na jeshi la kisasa kama KDF!Basi songeni mbele. Hakuna anaye wakataza.
Lakini usitudanganye km tpdf ndo inalipwa vzr tzAchana na mambo hayo wewe. Issue za mishahara pambana na hali yako. Sisi tunafanya kazi kizalendo. Kama wewe upo money oriented hufai kuwa askari wa TANZANIA.
Africa yote imekombolewa na Tanzania, unaijua Reli ya Tazara !? Ndio ilikuwa inapeleka silaha frontline. Nyi mpo na jeshi ya kulinda mashamba ya Uhuru na wakikuyu wenzie ! Jay456wattjambo la kwanza, TZ hamna uzoefu wa vita....mpo kweny nchi tulivu..sasa huwezi ukasema ww ni bora kijeshi na hamna uzoefu wowote...KDf wamekuwa kule somalia kwa miaka 5 sasa na pia wamekuwa Sudan kusini....tukasema sasa KDF vs TPDF tunawamaliza asubui na tunaelekea kula lunch tukicheka....hata muwe na missile launchers elfu moja na hamna uzoefu wa vita nyie ni bure tu...zile missile nikama kalamu tu...zimekaa tu pale barracks hazifanyi kazi...
Pili, pesa zilizotengwa kwa ajili ya jeshi every financial year ni nyingi Kenya kuliko tanzania pmoja na training na facilities za kivita...juzi tu tumenunua zile ndege za kuangusha missile toka marekani...
Wamewahi kukuibia? Au ndio kushoboka tu?Aliyekuomba ruhusa ni nani? Ninachosema ni mkome kabisa kuwafananisha wezi wa mifugo jwtz na jeshi la kisasa kama KDF!
Nani anakudanganya hapa? Mbona unajidanganya mwenyewe tu.
This is funy but true [emoji23] [emoji23] [emoji23]Westgate wamepigana na watu 5 kwa siku nne, bila kuwashika !
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Sasa hiyo picha ya GSU, yaani FFU wa Kenya, umeiweka hapo kudhihirisha ulivochanganyikiwa au? Tunaongea kuhusu KDF wewe! Huoni kaptula ni ya kijani? Beret ni nyekundu pia! Punguza viroba kijana!Wamewahi kukuibia? Au ndio kushoboka tu?
Kenya Drinking force
Hiyo picha ya kwanza Jama wako kwa pori hata mende hathubutu kupita na hiyo picha ya pili hujaona bullet proof vest au huna macho!?? Pia M16 ya nini!? Mwisho unataanza kuuliza LMG....Hahaha aih hao Watu wamechoka sana jameni. Wapi bullet proof vest? Wapi helmet? Mbona AK47 na kuna M 16.
HahahahaAl-shabab wamewashinda je tukiwaletea WATU WASIOJULIKANA kutoka Tz si watapindua nchi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui hata ubora wake na kwa nini bado hutumiwa!Ukweli huo
Huwezi kanusha!.
AK 47 ni bunduki ya Vita mpaka leo.
Inapiga kazi kwenye barafu, baridi, joto, ikiwa imelowa maji, yaani iko fiti in all weather.[emoji379]
Sent using Jamii Forums mobile app