Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Samahani lakini kwenye rangi nyekundu, nini maana yake?Shida yako ni upumbavu mwingi na kukosa maalifa,ukikosa fact za kupinga unaanza utoto
Halafu kwanini uniite mpumbavu? Je unajuaje kwama wewe ndiye mpumbavu? Unawe kunipatia proof?
Hebu check hapa, Kenyan Police Force, kiuno kama nyigu. Kwikwikwikwi
