Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa unajua walau kidogo tu ungeelewa ulichoulizwa, ila kwa kuwa hujui ndio maana ukaweza kusema eti mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama badala ya mkuu wa majeshi ya ulinzi. Kazana ku-google.Maana ya neno jeshi tu.
Mulisaa mchunge sana msipigwe sanctions na Marekani
hahahaha!!! Huyo jamaa nimemfuatilia ni propaganda zenu tu. Taarifa aliyosema imetoka UN haifunguki.Mulisaa mchunge sana msipigwe sanctions na Marekani
Jipe moyo, yaani ungekuwa unajuaThubutuuuu.
Hao mgambo wa alshabaabu tu wanawatoa Kamasi kule somali land
Tanzania ndio the Most powerful afrika mashariki na Kati yote
Na kwa bara la afrika nzima.
JWTZ Hatutoki nje ya 3 bora,
kama sio Namba Moja kabisa.
Labda Egypt na South Afrika.
Manake bajeti ya jeshi la Egypt linafadhiliwa na USA. Hawa watakua powerful kwasababu ya mgongo wa mwamerika.
South Afrika hawa wako vizuri kiuchumi tangu siku nyingi.
Namibia wanatengeneza ndege zao wenyewe, lakini bado hawazidi mziki wetu.
Nigeria wale washakua vimeo toka long time. Jeshi lao halina nidhamu. Lina mapungufu mengi.
Afrika imeisha yote. Kwishney..!!
Tumebaki sisi ambao ni strong and solid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay. Kwahiyo siyo SA-3?
Mkuu ujue unanichekesha sana hao wanajeshi walitumia Utu tu na isitoshe kenya Jiran yao.Unataka kuniambia mtu ana Smg wafugaji wanamapanga ,mikuki wakawashinda?? acha Bwana usijidanganye tena jeshi la Uganda sasa hivi liko vizur kuliko unavyodhani wamenunua ndege za Sukhoi -30 kutoka Urusi zikovizur hakuna mfano Africa ni wao na Algeria tu ndiyo wanazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesahau kumuambia kuwa wale makamanda walioenda anjouan hakun hata alyeuliwa na adui unless mmoja alyeanguka mwenyew majini.Sasa Sudanese na Alshababu lini mmefanikiwa sasa?
Miaka sasa hivi zaidi ya 5 mnalia lia tu huko somalia.
Sisi tulimaliza ndani ya week tatu huko congo (M23)
Tulimaliza ndani ya siku moja huko comoros
Tulimaliza ndani ya week moja huko Seychelles.
Ndani ya mwaka mmoja Nduli Idd Amin Dadaa aliondoka Uganda.
Tuliwapiga wareno ndani ya mwaka mmoja wakatokomea Mozambique.
Sasa leta uzoefu wenu kenya hapa sasa.
hakuna vita kati ya kenya na nchi hizo moja kwa moja ila kuna vita kati ya KDF na South Sudanese rebels plus Alshabaab militants...hio ni exposure tosha ya kukabili adui...nyi mmefanya lipi?
Hasa somalia kun nn kuanzia jesh l serkal had raia wanawaping al shabaab so hapo mna advantage y kuwasambaratsha mana mnapgana na wasiopendwa nchin mwao. Ishi anjouan mfuas kapndua nch dola yote ikawa chn yake lkn alpgwa km paka mwizi na jwtznimesoma na ilkua misheni ya kutatua mgogor kule Comoros...sasa swali ni hili, unajua Comoros ina population gani? yaani hata ni watu wa kuhesabika,...hamna pale threat ya kupeleka jeshi hapo...hata sasa nimedharau TPDF zaidi...yaani mnaplekwa Comoros badala ya Nchi kama Somalia....by the way, somalia ni kama Afghanistan, Iraq, Libya or maybe even worse...kisha ww unaniambia eti TDPF walipelekwa Comoros, kanchi ka watu wa kuhesabika...lol!!! wanajeshi walienda kubangaiza tu kule...hamna vita iliopo kule...
Mkuu unajua kuwanyoshaAnza kwa kusoma hapa:
View attachment 586253
BM-27 Uragan - Wikipedia
Kisha pitia hapa
Tanzania Land Systems List (Vehicles, Tanks and Artillery)
Nitakuwa nimemaliza kukupa somo. Na hizi ni record za zamani. Unajua Tanzania isingekuwa imara nyie kenya mngesumbua sana.
Et ndo kamanda kaz kujichafua vumbi. Westgate mlkuwa mnaiba micheleSamahani lakini kwenye rangi nyekundu, nini maana yake?
Halafu kwanini uniite mpumbavu? Je unajuaje kwama wewe ndiye mpumbavu? Unawe kunipatia proof?
Hebu check hapa, Kenyan Police Force, kiuno kama nyigu. Kwikwikwikwi
![]()
Polisi alkuwa anakata gogo kafulumushwa kuja kwny op ndo mana viuno vmepndaSio uniform za waimba kwaya hizi acheni masihara bwana waimba kwaya hawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv nyie jeshi la zmamote uhamiaji mnwaitajeMilitary = jeshi
Police = polisi.
Hakuna kitu kinachoitwa jeshi la polisi, huo ni upotoshaji. Jeshi linaitwa jeshi na polisi inaitwa polisi.
Mkuu wa majeshi anaitwa mkuu wa majeshi ya ulinzi(Chief of Defence) sio ulinzi(ulinzi)na usalama(security). Rais ndiye Amiri jeshi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Mkuu umesahau kumuambia kuwa wale makamanda walioenda anjouan hakun hata alyeuliwa na adui unless mmoja alyeanguka mwenyew majini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo pamoja na polisi zote ni idara za kiraia za serikali kama ilivyo Takukuru.
Ss kwe2 majeshi hayo. Tena kwny sniper hatarHizo pamoja na polisi zote ni idara za kiraia za serikali kama ilivyo Takukuru.
Kwenu wapi?
uganda ni wateja wetu kibiashara hamna haja kupigana naoKenya has no army to go head to head with little Rwanda, your elder brother Uganda will take your already wacky nation to stone age--reason why, they are forcefully and illegitimately occupying your [Migingo Island] territory and thereby undermine your sovereignty as well as your territorial integrity. Halafu mnacheka cheka tu kama Malaya wabovu!! Ohhoo Kenya army this...Kenya army this.....wakati mmetiwa kidole matakoni"
Uganda wanajua nyie ni machoko ndio maana wanawachezea makalio kijeshi-- if you have anything to go by confront them militarily the battle harden Ugandan army with your charcoal selling force "KDF".