pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Jf ni kama imejaa watoto wa darasa la tano siku hizi, very sad!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaa! kama za walinzi wa magodauniKwikwikwikwikwikwi. Leta Uniform za kwenu hapa
Kenyan Police Uniforms
![]()
![]()
![]()
Mkuu nakubaliana na wewe kuhusu uwezo wa kijeshi wa misri (sio waarabu wote).Hahaha ata sijui nianzie wapi. Waarabu wape heshima yao. Egypt ni wazimu kama bullshit. Nenda wikipedia type " Yom Kippur war". Kwa kifupi hii yom Kippur war ilipiganwa baina ya Israel na Egypt mwaka wa 1973. Egypt ilikuwa inalipiza kisasi baada ya Israel kuishinda katika 6 day war in 1967. Israel ilikuwa inapewa silaha na mafunzo na Wamarekani huku Egypt ikisaidiwa na Russia. Kwa kifupi ngoma ilitoka draw. Hata Israel hawakuamini
wakamlazimisha prime minister Golda Meir Kujiuzulu kwa aibu waliyopata. President wa Egypt aliyecheza ngoma hiyo ni shujaa ngozi nyeusi aliyeitwa Anwar Sadat na Alishinda Nobel peace prize kwa kutia mkataba wa amani na Israel. Israel walitandikwa hadi wakakubali kutia mkataba wa amani na kuregesha ardhi ya misri inayoitwa Sinai peninsular waliyokuwa wamenyakua. Misri ni nyoko apana leta machezo
Umesahau tulivyowafurumusha kule Amboni Tanga mkuuLabda ungeuliza kama limewahi kupigana na ashshabaab?
Manake hao ndio excuse yenu.
Whay Kenyans have done so far apart from alshabaab?
Lakini JWTZ lina rekodi ya kutoa kichapo cha mbwa mwizi afrika nzima.
We are so organized.
Hao roaches tuna wachapa in a matter of seconds.
Ndio maana hawajamudu kuchomeka pua hapa tized.
Tena kwa utawala huu wenye discipline jeshini kama ule wa nyerere ndio balaa kabisa.
.
Hapa tized kama ni makundi ya kigaidi ni mengi kuliko Huko kenya. Kwasababu tofauti ndogo ya kiimani.
But jeshi letu liko vizuri.
Walishaleta fyoko kule kibiti, kisarawe.. Sasa hivi wamekula mute.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya kuna viasi vidogo vidogo wamevishindwaNi kweli wakenya kuna vitu mmetuzidi, kama demokrasia, ukabila.
Lakini kwenye Jeshi hapana.
Sisi tupo juu zaidi. Sisi sio wa hapa hapa sisi ni kwa Afrika nzima.[emoji123]
Sisi tungekua juu yenu kiuchumi kama sio serikali yetu kutumia bajeti kubwa kwenye jeshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnatumia zipi?Yaani mnatumia binduki za world war one.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Al-shabab wamewashinda je tukiwaletea WATU WASIOJULIKANA kutoka Tz si watapindua nchi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
https://www.globalsecurity.org/military/world/tanzania/navy.htmTRUTHS..wewe una kichaa.kama huo mgambo wenu ni best in e.africa mbona basi hamujaupeleka kule somalia BTW tz muna navy??..pwahahaha..nikuuliza tu
Eti hatuna rekodi za kivita? Sio kweli! Tuna rekord nyingi za kivita kuliko kenya, tena tunawazidi mbali kabisa kwenye hayo masuala!jambo la kwanza, TZ hamna uzoefu wa vita....mpo kweny nchi tulivu..sasa huwezi ukasema ww ni bora kijeshi na hamna uzoefu wowote...KDf wamekuwa kule somalia kwa miaka 5 sasa na pia wamekuwa Sudan kusini....tukasema sasa KDF vs TPDF tunawamaliza asubui na tunaelekea kula lunch tukicheka....hata muwe na missile launchers elfu moja na hamna uzoefu wa vita nyie ni bure tu...zile missile nikama kalamu tu...zimekaa tu pale barracks hazifanyi kazi...
Pili, pesa zilizotengwa kwa ajili ya jeshi every financial year ni nyingi Kenya kuliko tanzania pmoja na training na facilities za kivita...juzi tu tumenunua zile ndege za kuangusha missile toka marekani...
Eh eh wakora wa somalia wanawapiga na vile vindege vyenu vya kumwagilia mashamba...watanzania muishi kuomba vita isiwai tokea na sisi (kenya) juu recce squad+gsu itamaliza tpdf
[emoji23][emoji23][emoji23]porojo za wakenya wakishashiba githeri.
Ile kagera war ni mchiriku?kwani ww kipofu?? pale somalia na sudan kusini wanalisha ng'ombe au? nyi mna uzoefu upi?? nchi imetulia sana...hakuna threat from within or without...tanzania has never gone to war...my friends, huwa mnapenda majivuno ila hamna chochote...nenda Google just search most powerful african militaries...kisha uje uniambie...hata nashuku hizo missile launchers hamjui kutumia...
Kdf ishajikatia tamaa labda amjui mambo ya kijeshi kwenye kupima morali tuje tukusaidieni ili mjue cha kufanyajambo la kwanza, TZ hamna uzoefu wa vita....mpo kweny nchi tulivu..sasa huwezi ukasema ww ni bora kijeshi na hamna uzoefu wowote...KDf wamekuwa kule somalia kwa miaka 5 sasa na pia wamekuwa Sudan kusini....tukasema sasa KDF vs TPDF tunawamaliza asubui na tunaelekea kula lunch tukicheka....hata muwe na missile launchers elfu moja na hamna uzoefu wa vita nyie ni bure tu...zile missile nikama kalamu tu...zimekaa tu pale barracks hazifanyi kazi...
Pili, pesa zilizotengwa kwa ajili ya jeshi every financial year ni nyingi Kenya kuliko tanzania pmoja na training na facilities za kivita...juzi tu tumenunua zile ndege za kuangusha missile toka marekani...
Vipi migingo mshapambana NA uganda[emoji10] [emoji10]si mjaribu tu...mtajua kuwa Kenya pia hatu bahatishi...please refer to this
https://answersafrica.com/7-african-countries-with-highest-military-strength.html/8
hampo hata top 10 maskini
listi ni hivi top 6
1. Egypt
2. Algeria
3. Ethiopia
4. South Africa
5. Nigeria
6. Kenya
yaani tz huwa ni domo tu lakini hamna chochote wala lolote...
Kama tungefuata report hizo tusinge pigana na idi amini hizo report ndo zimeponza jeshi lenu somalia kambi nzima ya kdf ikateketea MAFUNZO YA JWTZ NI YAKUPIGANA NA NCHI ILIYO TUZIDI UWEZO NA KUISHINDA NDIYO MAFUNZO TULIYO TOA KWA WAPIGANIA UHURU KUSINI MWA AFRIKA
Kuiba mkaakwa hiyo KDF kazi haswa kule somalia na sudan kusini ni gani?...naona ni kana kwamba unajua mengi sana...nielimishe basi mkuu...
GSU walikuwa wapi kwani wakati vijana watatu walivoteka WASTEgate? Mtaweza kweli kupamabana na wakora M23 msituni? Si badala ya kupigana nao mtatafuta chainsaws mukate miti mukauze mbao 😀... Kuna tofauti ya Jeshi (JWTZ) na Majambazi (KDF)Watanzania kwa kujipigia debe hamjambo....mko na promo mbaya ila nadhani mnaeza danganya mabunga.tz hakuna jeshi.cha muhimu ni kulipua fukwe za bahari na kupiga wakora wa m23 ambao wangepigwa na gsu...tpdf haiingii hata kwa gsu.wabongo chooni mrushe mawe sasa nmevaa helmet
SISI wa tz tunanunua siraha kimikakati siyo nyinyi mnanunua ovyo ovyo misiraha matokeo mnashindwa kuzitumiaSawa nimekubali. Lakini nina swali, haya mambo yanatia ugali kwenye sahani yako vipi?
Kwa nyerereKwenu wapi?