Madrid boy
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 895
- 615
Jombaa nyie mnaijua vita???Vita gani mlishawahi kupigana vita gani kwani nyie Wakenya mlipigana mlianza kwa mbwembwe na Al shabab tukazani Al shabab inaisha kwa zile mbwembwe zenu mlipoanza kuingia Somalia mkaishi kwenda kulinda Amani kama Amisonwatanzania muishi kuomba vita isiwai tokea na sisi (kenya) juu recce squad+gsu itamaliza tpdf