Kenya's military might

Kenya's military might

Obsolete
SA-3? hivi unajua Hamas wako na SA-11, ni siku gani umemskia Israel imeshindwa kuvamia hamas

Picha yenyewe si ya TZ umeitoa hapa
Almaz 5V24/5V27/S-125 Neva/Pechora / SA-3 Goa / Зенитный Ракетный Комплекс 5В24/5В27/С-125 Нева/Печора


Kenay Air Defense
SA-11 (Buk-M1) surface-to-air missiles
Rapier surface-to-air missiles
Tigercat surface-to-air missiles
Mistral surface-to-air missiles


Zote hizo ni obsolete

Tanzania+sam.JPG


Hii hapa SA-6 or as known by NATO "Gainful" The only Surface to Air Missile to have brought down stealth fighter jet in Chechnya.

hqdefault.jpg
 
Mbona kelele nyingi kwenye swali simple tu.
Hakuna kitu chochote Kenya, zaidi sana ni wizi.
Sentensi mbili za ukweli mtupu ndo kelele? Ni mathara ya udikteta nini? Haya basi acha wavaa gumboot waendelee tu kuvunja matofali sisi tutazidi kusonga mbele!
 
Sentensi mbili za ukweli mtupu ndo kelele? Ni mathara ya udikteta nini? Haya basi acha wavaa gumboot waendelee tu kuvunja matofali sisi tutazidi kusonga mbele!
Basi songeni mbele. Hakuna anaye wakataza.
 
He, nani ankurukupwa sasa? Utaumwa na moyo bure... Hiyo ni profile ya UN, link yenyewe ni ya UN peacekeeping hao ndo wanatakwimu za kila mwanajeshi aliyetumwa UN kutoka kwa kila nchi ingia ujitafutie nchi yako iko wapi na wapi

Providing for Peacekeeping

Most Kenyans are unaware of military issues and the crap you just posted attest to that. Angalia USA/France/UK/Germany wanatoa wanajeshi wachache sana.

Pia lazima ujue kuwa, Peacekeeping operation ni ujinga kwakua huruhusiwi hata kupiga risasi hewani.

UN kwa mara ya kwanza wameimplement peace-enforcing hii engagement ya mtitutu na kwa mara ya kwanza kwenye history ya Dunia imefanywa na kuongozwa na TPDF Congo dhidi ya M23.


"Therein lies the second point. Tanzania is actually doing a lot of the heavy lifting for the FIB. Its commander, Brigadier General James Aloizi Mwakibolwa has decades of command experience, and is well-suited for this kind of campaign. Beyond this, the Tanzanians are bringing an artillery company, Special Forces and a host of other useful detachments that will be valuable in locating and destroying M23. In total, Tanzania's bringing about 1,300 troops to this fight, actually making them the lead actors in the operation.” dailymaverick.co.za
 
jambo la kwanza, TZ hamna uzoefu wa vita....mpo kweny nchi tulivu..sasa huwezi ukasema ww ni bora kijeshi na hamna uzoefu wowote...KDf wamekuwa kule somalia kwa miaka 5 sasa na pia wamekuwa Sudan kusini....tukasema sasa KDF vs TPDF tunawamaliza asubui na tunaelekea kula lunch tukicheka....hata muwe na missile launchers elfu moja na hamna uzoefu wa vita nyie ni bure tu...zile missile nikama kalamu tu...zimekaa tu pale barracks hazifanyi kazi...
Pili, pesa zilizotengwa kwa ajili ya jeshi every financial year ni nyingi Kenya kuliko tanzania pmoja na training na facilities za kivita...juzi tu tumenunua zile ndege za kuangusha missile toka marekani...
Africa yote imekombolewa na Tanzania, unaijua Reli ya Tazara !? Ndio ilikuwa inapeleka silaha frontline. Nyi mpo na jeshi ya kulinda mashamba ya Uhuru na wakikuyu wenzie ! Jay456watt
 
Aliyekuomba ruhusa ni nani? Ninachosema ni mkome kabisa kuwafananisha wezi wa mifugo jwtz na jeshi la kisasa kama KDF!
Wamewahi kukuibia? Au ndio kushoboka tu?
Kenya Drinking force
821.jpg
 
Wamewahi kukuibia? Au ndio kushoboka tu?
Kenya Drinking force
821.jpg
Sasa hiyo picha ya GSU, yaani FFU wa Kenya, umeiweka hapo kudhihirisha ulivochanganyikiwa au? Tunaongea kuhusu KDF wewe! Huoni kaptula ni ya kijani? Beret ni nyekundu pia! Punguza viroba kijana!
 
Hahaha aih hao Watu wamechoka sana jameni. Wapi bullet proof vest? Wapi helmet? Mbona AK47 na kuna M 16.
Hiyo picha ya kwanza Jama wako kwa pori hata mende hathubutu kupita na hiyo picha ya pili hujaona bullet proof vest au huna macho!?? Pia M16 ya nini!? Mwisho unataanza kuuliza LMG....
BWT msije kuthubutu hata mechi ya kirafiki tu

Pilato 007
 
Back
Top Bottom