Kenya's military might

Mimi naweka vitu ambavyo tayari viko kwenye public tayari. Na hiyo nayo ni siraha kama jirani anamilk gobore, mwoneshe AK47 yako. Atatulia kupiga kelele.

hahahaha unanikosha yaani we Unajua vitu vingi kuhusu hii nchi. vipi kuna sehemu Fulani nilisoma Inasema, Nyerere alinyimwa msaada na mataifa mengine Kwenye vita ya kagera, kutokana na shutuma za kujihisisha Kwenye mapinduzi ya Seychelles miaka ya 70. kama Unajua unaweza nifafanulia pm.
 
Mavi yako, umesikia malalamiko yao? Hawalipwi stahili zao, wanadanganywa, wanatishwa, wamejaa hofu na woga ungejua usingesema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sijui lakini ninahisi waliotusaidia ni USSR, North Korea na China.
 
budget ya jeshi lenu ni ngapi kwanza?
Leta yenu kwanza. Sisi silaha zetu tunatoa kutoka kwenye nchi za kijamaa bei nafuu. Nyie mnatoka toka kwa mabepari bei ya juu silaha mbovu.
 

WELL SAID.

WE LEAD. OTHERS FOLLOW
 
Jaribu kufanya mahusiano nao, tena mambo kama haya hayafai labda kuna kitu unataka kujua kama kinajulikana, na kama ndivyo ukweli unaujua, nyamaza kimyaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unipangie cha kuongea ndugu. Wewe ongea issue zako. Hapa tunaongea vitu kwa proof. Siyo mbwembwe zako za kihuni. Ninataka ulete proof unaanza kulia lia. Hakuna Tanzania wafanyakazi wa umma wanaolipwa vizuri kama wanajeshi.
Wewe shida zako binafsi usizilete kwetu.
SISI TUMEFUNZWA UZALENDO
 
Nawapenda wambongo sana kwa ndomo na vitendo zero, hamjambo wambongolala
Vitendo vyako ni nini sasa?
kama wewe ni mtanzania,
Wazazi wako hawajafanya chochote kwako ndio maana upo hapo(Maana nao ni watanzania)
 
Hahaha ata sijui nianzie wapi. Waarabu wape heshima yao. Egypt ni wazimu kama bullshit. Nenda wikipedia type " Yom Kippur war". Kwa kifupi hii yom Kippur war ilipiganwa baina ya Israel na Egypt mwaka wa 1973. Egypt ilikuwa inalipiza kisasi baada ya Israel kuishinda katika 6 day war in 1967. Israel ilikuwa inapewa silaha na mafunzo na Wamarekani huku Egypt ikisaidiwa na Russia. Kwa kifupi ngoma ilitoka draw. Hata Israel hawakuamini
wakamlazimisha prime minister Golda Meir Kujiuzulu kwa aibu waliyopata. President wa Egypt aliyecheza ngoma hiyo ni shujaa ngozi nyeusi aliyeitwa Anwar Sadat na Alishinda Nobel peace prize kwa kutia mkataba wa amani na Israel. Israel walitandikwa hadi wakakubali kutia mkataba wa amani na kuregesha ardhi ya misri inayoitwa Sinai peninsular waliyokuwa wamenyakua. Misri ni nyoko apana leta machezo
 
BM-21 multiple rocket launchers
Mpo nazo nyie kenya?
 
jambo la kwanza, TZ hamna uzoefu wa vita....mpo kweny nchi tulivu..sasa huwezi ukasema ww ni bora kijeshi na hamna uzoefu wowote...KDf wamekuwa kule somalia kwa miaka 5 sasa na pia wamekuwa Sudan kusini....tukasema sasa KDF vs TPDF tunawamaliza asubui na tunaelekea kula lunch tukicheka....hata muwe na missile launchers elfu moja na hamna uzoefu wa vita nyie ni bure tu...zile missile nikama kalamu tu...zimekaa tu pale barracks hazifanyi kazi...
Pili, pesa zilizotengwa kwa ajili ya jeshi every financial year ni nyingi Kenya kuliko tanzania pmoja na training na facilities za kivita...juzi tu tumenunua zile ndege za kuangusha missile toka marekani...
 
Utulivu wa nchi ni kwa sababu ulinzi uko imara.
Wewe angalia tunazungukwa na nchi zilizo na mapigano kila kukicha lakini Tanzania ipo tulivu sana kwa sababu ya ulinzi ulio imara.

Congo, Mozambique, Burundi nk.

Halafu nyie mnaenda kule somalia kwa kihere here chenu tu.
Nairobi tunaishushia kipondo ndani ya sekunde inapotea.
Tunaweka mashine mbili tu pale Kilimanjaro (A-100 multiple rocket launchers) Nairobi inabaki majivu.






 
si mjaribu tu...mtajua kuwa Kenya pia hatu bahatishi...please refer to this
https://answersafrica.com/7-african-countries-with-highest-military-strength.html/8
hampo hata top 10 maskini
listi ni hivi top 6
1. Egypt
2. Algeria
3. Ethiopia
4. South Africa
5. Nigeria
6. Kenya
yaani tz huwa ni domo tu lakini hamna chochote wala lolote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…