Eti Nigeria, Poor you.!!
Kwa taarifa yako, jeshi la Nigeria limekua bovu kuliko maelezo. Lina rushwa, mamluki, udini, ukabila. Kiufupi wamekua dhaifu sana. Hata mbele ya al- Wilāya al-Islāmiyya Gharb Afrīqiyyah.
Hawa hawawezi mziki wetu. Itabakia dhana tu kua wananguvu za kufikirika lakini hawawezi pambana na JWTZ.
Kule Afrika Magharibi, Libya ya Ghadafi ndio ilikua na nguvu.
Lakini walishaleta kikosi chao hapa bongo kumsaidi Nduli, wakachezea kichapo cha mbwa mwizi. Manake na wao walikua wana tu undermine uwezo wetu. Tuliwa-suprize sana tu.!!
Morocco na Algeria. I can assure you, hapa hakuna Jeshi..hawa waarabu hawana jipya. Mtu mweusi ni Balaa.
Jeshi la Tizedi lina mafunzo makali sana. Hawa waarabu hawawezi mziki wetu. Wako nyoronyoro sana kama wanawake.
Sisi Tanzania hatuko nje ya na 5 lakini kuna kila possibility sisi ndio namba moja Afrika.
Tuna jeshi lenye umoja, halijawahi kuingiliwa na siasa ndani wala blah blah zingine!!
Lenye nidhamu ya hali ya juu,ambayo hakuna jeshi AFRIKA wanayo
Mazoezi magumu utadhani ni SEAL wa USA.
Jeshi letu lina SIRI SANA katika uwezo wake WA juu. Hua hazivuji kama hayo mataifa mengine.
Nenda huko Morroco na Algeria utakuta mafunzo ni ya kuendesha kifaru na ndege. Lakini physicality wako kama wanawake.
Jeshi letu halijawahi kupoteza integrity yake kwa kila mkuu wa majeshi anayeingia nchini hadi huyu wa sasa Generally Mabeyo.
Hao wakenya, wanaukabila hadi ndani ya jeshi.
Sent using
Jamii Forums mobile app