Kubangua koroshow ama vipi failed state joto la jiwe?
Kwani unaelewa mtu akiwa Off Duty? Kweli KDF kazi yake sio kulinda Wastegate, waliitwa kusaidia kuiba tu au sio? Btw watakufaje na magaidi wakati walikuwa wanajificha kwa woga? 😀Kwani chilubi dhaifu jwtz ni mabasha wote wanaingia bafu wakasuguane migongo na mi**** hadi wakapatikana na watoto wenye mapanga kule kongo? KDF kazi yake si kulinda westgate waliitwa kusaidi na wala hamna aliyeuawa na hao magaidi ila wewe huwezi kumbuka kituo cha polisi dar cbd kilivamiwa na magaidi na kutoroka na silaha.
Wapi ulisikia jeshi linaacha kulinda kambi zake badala yake wanaenda kuuza mkaa na sukari zenye sumu?. Big budget lakini hamna ndege ya kivita hata moja ya kisasa, tukitaka kuwapiga tunawatumia J-7 NNE pekee zinawasambaratisha. Failed state ninyi kabisa.MAKANJAMNA ni wapi ushawahi kusikia jeshi wanavuna au kubangua korosho? Hiyo ni kazi ya wakulima na tena hiyo korosho si iliotea maghalani kumaanisha dhaifu jwtz walifanya kazi ya bure.
Sgr yetu km600 na inafanya kazi tayari, yenu pesa mlizotenga za ndani hata km1 hamuwezi onyesha...bure kabisa LDC
MAKANJAMNA ni wapi ushawahi kusikia jeshi wanavuna au kubangua korosho? Hiyo ni kazi ya wakulima na tena hiyo korosho si iliotea maghalani kumaanisha dhaifu jwtz walifanya kazi ya bure.
Sgr yetu km600 na inafanya kazi tayari, yenu pesa mlizotenga za ndani hata km1 hamuwezi onyesha...bure kabisa LDC
Wewe ni moja kati ya wale watu ambao wakikosa point ya kuongea huwa wanaropoka pumba tu na kuishia kutukana ili aonekane yuko sahihi kumbe lahashaMAKANJAMNA ni wapi ushawahi kusikia jeshi wanavuna au kubangua korosho? Hiyo ni kazi ya wakulima na tena hiyo korosho si iliotea maghalani kumaanisha dhaifu jwtz walifanya kazi ya bure.
Sgr yetu km600 na inafanya kazi tayari, yenu pesa mlizotenga za ndani hata km1 hamuwezi onyesha...bure kabisa LDC
Burundi wapo huko Somalia na hawauliwi kama ninyi, KDF ni dhahifu kuliko Burundi Army?joto la jiwe wapi ulisikia jeshi kaingia wote bafu kuoga kisha wakashambuliwa na mapanga? Kama nyinyi ni wanaume muingie somalia tuwape pande za jubaland ama hela na machinery hamna labda mbangue korosho na kuhangaisha wabadilisha sarafu
Pesa zipi zinarudi Kenya wakati hamna uwezo wa kujenga hata mita moja ya old diesel SGR mumeamua kuishia porini?. Hata hiyo ya zamani pia hamna pesa ya kuifanyia ukarabati mnakopa, njaa ndio inazidi kuwamaliza. Failed state.joto la jiwe jeshi la marekani wanauza opium wa kenya wanauza sukari na mkaa pesa zinarudi Kenya. Dhaifu jwtz wanabangua korosho afu zinaotea maghalani nchi na wakulima wanaenda hasara afu mnataka kuwa mido inkamu na huu utoto? ndoto za mchana.
Labda siku utaacha ujinga ndo utaanza shinda hojandughuri msuya tunazitumia kulinda mkaa ama hujui kazi ya mkaa ilikuwa ya shabab.
wilson255 nani nimetukana ama nimewashinda nyote kwa hoja...
Mchina alipokataa kuwapa pesa, vipi mumeshindwa kumalizia?, hizo kilometer zinazofanya kazi, kilometers ngapi zimejengwa kwa pesa yenu?joto la jiwe mhamisha magoli Kenya ina km600 ya sgr inafanya kazi afu tz hawako somalia sijui ni hela kukosa ama ni uoga ila ni moja kati ya hizo.