Kenya's military spending in 2018 IS more than Tanzania's and Uganda's combined

Kwani chilubi dhaifu jwtz ni mabasha wote wanaingia bafu wakasuguane migongo na mi**** hadi wakapatikana na watoto wenye mapanga kule kongo? KDF kazi yake si kulinda westgate waliitwa kusaidi na wala hamna aliyeuawa na hao magaidi ila wewe huwezi kumbuka kituo cha polisi dar cbd kilivamiwa na magaidi na kutoroka na silaha.
 
Kubangua koroshow ama vipi failed state joto la jiwe?

Naona the only thing you have ni JWTZ kubangua korosho.. kingine hauna au sio..?? at least wao walifanya kitu kwa ajili ya maslahi ya Tanzania, lolote litokee walitii amri ya Amiri jeshi wao. magari ya jeshi na manpower iliwekwa kazini..

sasa nyie mna spend pesa nyingi hivyo kwenye jeshi halafu kumalizia SGR mnashindwa, hata kuiwekea umeme tu..
 
Kwani chilubi dhaifu jwtz ni mabasha wote wanaingia bafu wakasuguane migongo na mi**** hadi wakapatikana na watoto wenye mapanga kule kongo? KDF kazi yake si kulinda westgate waliitwa kusaidi na wala hamna aliyeuawa na hao magaidi ila wewe huwezi kumbuka kituo cha polisi dar cbd kilivamiwa na magaidi na kutoroka na silaha.
Kwani unaelewa mtu akiwa Off Duty? Kweli KDF kazi yake sio kulinda Wastegate, waliitwa kusaidia kuiba tu au sio? Btw watakufaje na magaidi wakati walikuwa wanajificha kwa woga? 😀

Kituo cha polisi sio kambi ya jeshi linalohusika kulinda amani ya taifa.

Eti ile Battle of El Adde mlikuwa mpo on guard? au mlikuwa mmelaliana kwenye camps?
 
Pamoja na bajeti yenu, nakuhakikishia Kenya hana uwezo wa kupiga nchi yoyote EA. Ninyi hata Burundi tu anawaburuza.

Mleta uzi TPDF an UPDF no mziki mwingine EA ambao KPDF hamuwezi kucheza. Mtapigwa mpaka mnye
 
MAKANJAMNA ni wapi ushawahi kusikia jeshi wanavuna au kubangua korosho? Hiyo ni kazi ya wakulima na tena hiyo korosho si iliotea maghalani kumaanisha dhaifu jwtz walifanya kazi ya bure.

Sgr yetu km600 na inafanya kazi tayari, yenu pesa mlizotenga za ndani hata km1 hamuwezi onyesha...bure kabisa LDC
 
Wapi ulisikia jeshi linaacha kulinda kambi zake badala yake wanaenda kuuza mkaa na sukari zenye sumu?. Big budget lakini hamna ndege ya kivita hata moja ya kisasa, tukitaka kuwapiga tunawatumia J-7 NNE pekee zinawasambaratisha. Failed state ninyi kabisa.
 
chilubi el ade ilikuwa mabomu, makombora na risasi. Hapo kongo ilikuwa ni mapanga tu tena watoto wadogo.

Kama dhaifu jwtz ni wanaume waingie somalia wasaidiane na wenzao kina burundi, uganda, rwanda, kenya na ethiopia na mkumbuke pale sio comoro kwa chipsi mayai au kuvuna korosho.
 
MAKANJAMNA ni wapi ushawahi kusikia jeshi wanavuna au kubangua korosho? Hiyo ni kazi ya wakulima na tena hiyo korosho si iliotea maghalani kumaanisha dhaifu jwtz walifanya kazi ya bure.

Sgr yetu km600 na inafanya kazi tayari, yenu pesa mlizotenga za ndani hata km1 hamuwezi onyesha...bure kabisa LDC

Kama hujawahi kusikia ndo imetokea Tanzania kwa mara ya kwanza.. In short sio lazima wengine wafanye ili na sisi tuige..

We are proud na jeshi letu kwa kweli..

Kujenga ukuta wa sen'genge kwa 10m per meter ushawahi kuisikia wapi??
 
joto la jiwe wapi ulisikia jeshi kaingia wote bafu kuoga kisha wakashambuliwa na mapanga? Kama nyinyi ni wanaume muingie somalia tuwape pande za jubaland ama hela na machinery hamna labda mbangue korosho na kuhangaisha wabadilisha sarafu
 
joto la jiwe jeshi la marekani wanauza opium wa kenya wanauza sukari na mkaa pesa zinarudi Kenya. Dhaifu jwtz wanabangua korosho afu zinaotea maghalani nchi na wakulima wanaenda hasara afu mnataka kuwa mido inkamu na huu utoto? ndoto za mchana.
 
Hizo silaha mnazonunua mnazitumia wapi,maana alshabab kila siku anawamaliza na hana silaha kali kama zenu
 
MAKANJAMNA ni wapi ushawahi kusikia jeshi wanavuna au kubangua korosho? Hiyo ni kazi ya wakulima na tena hiyo korosho si iliotea maghalani kumaanisha dhaifu jwtz walifanya kazi ya bure.

Sgr yetu km600 na inafanya kazi tayari, yenu pesa mlizotenga za ndani hata km1 hamuwezi onyesha...bure kabisa LDC
Wewe ni moja kati ya wale watu ambao wakikosa point ya kuongea huwa wanaropoka pumba tu na kuishia kutukana ili aonekane yuko sahihi kumbe lahasha
 
joto la jiwe wapi ulisikia jeshi kaingia wote bafu kuoga kisha wakashambuliwa na mapanga? Kama nyinyi ni wanaume muingie somalia tuwape pande za jubaland ama hela na machinery hamna labda mbangue korosho na kuhangaisha wabadilisha sarafu
Burundi wapo huko Somalia na hawauliwi kama ninyi, KDF ni dhahifu kuliko Burundi Army?
 
joto la jiwe jeshi la marekani wanauza opium wa kenya wanauza sukari na mkaa pesa zinarudi Kenya. Dhaifu jwtz wanabangua korosho afu zinaotea maghalani nchi na wakulima wanaenda hasara afu mnataka kuwa mido inkamu na huu utoto? ndoto za mchana.
Pesa zipi zinarudi Kenya wakati hamna uwezo wa kujenga hata mita moja ya old diesel SGR mumeamua kuishia porini?. Hata hiyo ya zamani pia hamna pesa ya kuifanyia ukarabati mnakopa, njaa ndio inazidi kuwamaliza. Failed state.
 
joto la jiwe mhamisha magoli Kenya ina km600 ya sgr inafanya kazi afu tz hawako somalia sijui ni hela kukosa ama ni uoga ila ni moja kati ya hizo.
 
Mchina alipokataa kuwapa pesa, vipi mumeshindwa kumalizia?, hizo kilometer zinazofanya kazi, kilometers ngapi zimejengwa kwa pesa yenu?
 
joto la jiwe km600 tumejenga kwa mikopo nyinyi mnajenga kwa "pesa za ndani" ila bado hata km1 ni ngumu kuiona. Back to the topic ya dhaifu jwtz wabangua korosho vs KDF wauza mkaa na sukari.
 
wilson255 budget yenyu ya jwtz ni ngapi ukilinganisha na ya Uganda afu uniambie updf hawatawachapa ka burukenge?
 
Back
Top Bottom