Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Huko ndo tunalenga, ifike wakati quality yetu iko juu hadi top 100 students wa KCSE wanapata automatic qualification ya kua sponsord na harvard, stanford, oxford......Mimi nakubaliana na wewe katika umuhimu wa ku deliver quality education tu.
Hii list ya top high schools nimeshaiona sana katika mtandao. Kila mtu/organization anataka rank yake iwe ndio barometer ya quality education.
Ditto with top universities in the world. Kuna QS ranking na Shanghai world ranking. Yupi ni mkweli? QS anasema MIT, Shanghai anasema Harvard, ndio Number 1 duniani.
Sawa na hiyo ranking ya Afrika Kusini. Wanatumia methodology gani kupima? Kuna wengi tu nao wana rank shule, wanatafuta biashara.
Barometer yangu ya quality education ni kukubaliwa kupewa full academic scholarship in Ivy League schools nikionyesha cheti changu cha kufaulu.
Kama mwanafunzi akiweza kusoma bure top 10 universities za dunia, basi hiyo shule ina heshima automatically iwe Starehe high school au Zanaki Secondary School.
mwaka jana tuliongoza kwa admissions into Yale. ..sijui hizo ivy league nyengine tulikuaje.
The benefits of premium education continue to be recorded in the flow of Kenyan students to top global learning universities. Kenya this year cemented its position as the top African country with the largest number of students admitted yearly to the prestigious Yale University in the United States.
Data from the university indicates that 24 Kenyan students were admitted to study at the institution this year, ahead of Nigeria’s 23, Zimbabwe (18), Ghana (17) and South Africa (16).
Kenya’s admissions to Yale comprise 17 undergraduates and seven graduates also placed the country in position 16 in the world in terms of admission to Yale.
Nairobi elite schools top Africa’s fees chart