Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Mkuu,
Kwa bahati mbaya majibu ya maswali yako sina. Sifahamu kwa kweli.
Ila kama historia za hizo shule za Afrika Kusini zinaonyesha wanafunzi wengi wameweza kuingia Harvard, badi itakuwa shule bora.
Siifahamu system ya Afrika Kusini. Siwezi kukujibu kisahihi tofauti yake na IB program.
Lakini historia yao ni nzuri kama ulivyonionesha.
Nashukuru sana mkuu for your time!