Yaani Tanzania hii haina middle class?? Eti vitu vya Bei ghali?? Hawana shopping abilities hawa wa Tanzania?? Enda Garden City Nairobi, a bottle of body lotion goes at Kshs: 10,000 equivalent to Tshs: 200,000, Ama uende Hilton, a cup of Coffee going at Kshs: 820 that is Tshs: 16,400 but still you will find it is full!! No high end customers in Tanzania??? Mambo ya ajabu haya!! Daah
Tanzania ina middle class kubwa tu.. na wapo kila mkoa.. maendeleo hayarudi nyuma, na unajua wazi uchumi wetu unakua kwa kasi kuliko nchi yoyote hapa East Africa.. so our middle class is growing.
I can't deny kuwa middle class ya Kenya ni kubwa kuliko Tanzania, lakini kuna kitu pia nimekigundua kwenu majirani.. mna KAUSHAMBA flani hivi kwenye mambo ya magharibi, wengi wenu mnafikiri uwepo wa Malls ndio kigezo cha uchumi mzuri na zaidi mnafikiri kununua kwenye supermarkets bidhaa ambazo zipo overpriced kwa kigezo eti nyie ni high end consumer ndio proper consumption..
Proper consumption ni ile ambayo haipelekei wastage na inaweka msisitizo kwenye faida ya watu wa chini.. sio overpriced object kuonyesha kuwa you can.. hayo mambo achia ulaya ambapo watu wanaishi kwenye welfare societies..
Ndio maana Tanzania maisha ni rahisi kuliko Kenya kwa kuwa mambo yenu mengi ni superficial.
Huku bongo middle class kama mimi kutembelea mall ni pale nitakapohakikisha kuwa hicho ninachokitaka hakipo mahali ninapoishi.. nikimaanisha badala ya kununua kwenye supermarket ambapo nampa hela tajiri ni bora ninunue Kwa local vendor ambaye ananiuzia kitu fresh kabisa, kwa bei nzuri na pia pesa yangu inamsaidia yeye..
waTanzania hawana ushamba wa kuzurura kwenye supermarkets ili waonekane wana hela au wana belong kwenye certain class.. hicho ndicho kilichofanya Nakumatt na Uchumi kufa walifikiri waTanzania ni washamba kama waKenya ambao wapo tayari kuuziwa mchicha wa juzi kwa 5000 wakati wanaweza kupata uliochumwa leo asubuhi kwa 200.
Nisamehe kama nimetumia Kiswahili kigumu ambacho umeshindwa kukielewa.
Neno langu sio sheria, I rest my case.