Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Does that matter?? What if theyb work all of them? They employ more!! That is how a country grow, not closing one investment because another opened up!!Unajua all places ambazo uchumi has closed its supermarkets ..kuna supermarket mpya ambazo zimeemploy watu ...Quality centre mall...kuna American supermarket . ..makumbusho ..kuna chopies . ..so it means the companies ndo zimefail,,,mbn TSN a tanzanian supermarket is doing well
Sijui kwanin mnaamini timefurah biashara za wakenya kufungwa? Mo hoja ya kunogesha uzi ama? Business zimefail kwa sababu hawakujua cha kufanya kwenye uchumi huu. Hakuna maduka yanatembelewa kama hayo... lakin bidhaa ni ghali . Mnauza bidhaa za kenya kwa bei ghali na sie tunaweza kupata bidhaa zenye ubora zaidi kwa bei nafuu.Does that matter?? What if theyb work all of them? They employ more!! That is how a country grow, not closing one investment because another opened up!!
in free market economy a weaker competitor loses out! It is not KQ for Tanzanian government to bail out! A winner of that competition i.e. TSN is to take up those workers that have lost their jobs!When Kenya tries to Keep FDI Tanzanians celebrate when they close shop!! Clearly shows why Tanzania is a Least Developed Country. Those guys employed in the Supermarkets, those employed in the Supply Chains, Those employed by the production chains, the business of supply and production, loss of Taxes ..... and much more, then a Danganyikan celebrates!!! Daaah, Very sick in the head
Hahah bwahahahah TSN is taking up that business! loseeer!uchumi wa tanzania mdogo...
Hata hua sielewi kama ni kodi au gharama za uedeshaji maana supermarket nyingi bei zipo juu sana kuliko mtaani...hapa ilitakiwa iwe kinyume...hata wakazinunua watashindwa tu, sio "desturi" ya wabongo wengi kukomaa kwenye foleni kufuata bidhaa supermarket wakati kwa Mangi zipo na kwa bei cheeTatizo la hawa jamaa hswana unique products.. Wanauza bidhaa ambazo zinapatikana mtaani na Kkoo tena kwa bei nafuu.
Sie kama wakenya... tunanunua vya kwetu. Nataka nikukumbushe Shoprite waliondoka hata huyu mpya hajaja.That shows how the Tanzanian economy is being hurt by the current administration, I dont think its a cause for celebration, you guys need to look inwardly either the economy is doing badly or you dont buy from foreigners
We've others setting up shop so not a loss really. Choppies from Botswana plus others of international renown. Though ingekuwa vizuri if we'd both battling it out,The exit of the two Kenyan retail Giants should not be a cause for celebration... Quite the contrary actually.
You see, there are dozens of Tanzanian employees working for those supermarkets that will now be left jobless. Not forgetting also the Tanzanian suppliers of the two retailers who will have less shelve space to sell their goods from.
Its double loss if you ask me.
When Kenya tries to Keep FDI Tanzanians celebrate when they close shop!! Clearly shows why Tanzania is a Least Developed Country. Those guys employed in the Supermarkets, those employed in the Supply Chains, Those employed by the production chains, the business of supply and production, loss of Taxes ..... and much more, then a Danganyikan celebrates!!! Daaah, Very sick in the head
Sie kama wakenya... tunanunua vya kwetu. Nataka nikukumbushe Shoprite waliondoka hata huyu mpya hajaja.
Economy imeumizwa lakini sio sababu ya nakumat kufungwa, kabla hawajapalamia biashara ambayo Shoprite iliwashinda wangefanya utafiti...
Tunanunua sana simu kutoka nje kwahiyo hoja ya kutonunua foreign pia haina mashiko.
Hakuna hoja hapa kwenye huu uzi zaidi ya kutengeneze ugomvi usio kuwepo kati ya watanzania na wakenya....
Hivi kuna namna mnafaidika mkisikia hatuwapendi? Maana hata kwenye mambo ya kutumia akili mnarudi kulekule... Ati tuna chuki na nyie...[emoji42][emoji42]
Nakumat hakuna bidhaa inayouzwa kwa bei nafuu ukilinganisha na maduka ya mtaani!"bei nafuu"
i like that.
mungeuziwa ghali mungesema munaibiwa. au?
Unawazungumzia haohao suppliers wasiolipwa kwa wakati.., ambao nao wanashindwa kuwalipa wafanyakazi wao kwa wakati pia hivyo kuathiri mustakabali wa familia zao n.k.When Kenya tries to Keep FDI Tanzanians celebrate when they close shop!! Clearly shows why Tanzania is a Least Developed Country. Those guys employed in the Supermarkets, those employed in the Supply Chains, Those employed by the production chains, the business of supply and production, loss of Taxes ..... and much more, then a Danganyikan celebrates!!! Daaah, Very sick in the head
one is Quality and another one is Quantity. same ways going to packaging. you should think about itNakumat hakuna bidhaa inayouzwa kwa bei nafuu ukilinganisha na maduka ya mtaani!
Tanzania ina middle class kubwa tu.. na wapo kila mkoa.. maendeleo hayarudi nyuma, na unajua wazi uchumi wetu unakua kwa kasi kuliko nchi yoyote hapa East Africa.. so our middle class is growing.Yaani Tanzania hii haina middle class?? Eti vitu vya Bei ghali?? Hawana shopping abilities hawa wa Tanzania?? Enda Garden City Nairobi, a bottle of body lotion goes at Kshs: 10,000 equivalent to Tshs: 200,000, Ama uende Hilton, a cup of Coffee going at Kshs: 820 that is Tshs: 16,400 but still you will find it is full!! No high end customers in Tanzania??? Mambo ya ajabu haya!! Daah
But from most threads, most facebook comments you can see the kind of hatred that goes on towards Kenyans from Tanzanians, the company I work with went to Tanzania to do a market research to establish a branch in dar, the report we got is that Tanzania is a very hostile market, they always think we are conmen, so for me its just not empty talk but rather talking from what I knowSie kama wakenya... tunanunua vya kwetu. Nataka nikukumbushe Shoprite waliondoka hata huyu mpya hajaja.
Economy imeumizwa lakini sio sababu ya nakumat kufungwa, kabla hawajapalamia biashara ambayo Shoprite iliwashinda wangefanya utafiti...
Tunanunua sana simu kutoka nje kwahiyo hoja ya kutonunua foreign pia haina mashiko.
Hakuna hoja hapa kwenye huu uzi zaidi ya kutengeneze ugomvi usio kuwepo kati ya watanzania na wakenya....
Hivi kuna namna mnafaidika mkisikia hatuwapendi? Maana hata kwenye mambo ya kutumia akili mnarudi kulekule... Ati tuna chuki na nyie...[emoji42][emoji42]