Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

tanzania hizo data wamezipataje (2019)??? sensa ya mwisho sijui ilifanyika mwaka gan, nadhan miaka 10 imepita!
 
NHC LANGATA looking good. Hakuna estate kubwa kama hiyo tz mzima na kama iko niletewe evidence
 
NHC LANGATA looking good. Hakuna estate kubwa kama hiyo tz mzima na kama iko niletewe evidence
Title deeds ya hizo maboksi za tofali iko wapi? Who is the owner?

Bongo zipo estate kubwa nyingi tu na zimejengwa kwa mpangilio na kufuata taratibu. Tanzania haiwezi kuingia mkenge kujenga sehemu ambayo haimiliki eneo. Hakuna kukurupuka huku.

Hivi kibra ndio kibera? So mariga alikuwa anataka ubunge wa kibera au kibra?
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ unachekesha. Hizo nyumba ziko designed, constructed, managed and owned by Kenyans. NHC ni parastatal na najua huko bongo pia iko

Zipo kwa mdomo tu lakini picha hakuna??

Kibra ni Constituency ambayo inainclude Kibera slum and adjoining estates
 
[emoji23] [emoji23] unachekesha. Hizo nyumba ziko designed, constructed, managed and owned by Kenyans. NHC ni parastatal na najua huko bongo pia iko
ndo maana zinaanguka anguka hizo jengo zenu
 
ndo maana zinaanguka anguka hizo jengo zenu
Wewe isipokua ni mdomo kubwa, hizo nyumba hapo most tanzanians cannot afford. Have lived there na most ni 3 bedrooms with a price tag of 7m ambayo ni 150m+ kwa pesa ya madafu na ziko sold out as we speak
 
Onesha title deeds ya hizo nyumba kwamba kweli zinamilikiwa na serikali. Nachojua ni kwamba serikali ilijenga katika eneo ambalo haina Hati. Na ndio mgogoro upo hapo hadi Sasa.

OK.. Mbona kwenye roaster ya majina ya wapigakura sijaona street ya Lang'ata? Kwamba kibera ime stretch hadi westland?
 
Wewe unaona nikama zinamilikiwa na nani?
 
The House upgrading programme should take course with the incoming MP. By 2022 Nairobi will be a very different place altogether.
 
Sasa mzozo langata katokea wapi na hakuna evidence. Hizo nyumba ni za wakenya.
Do they look too good to not be Kenyan owned?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…