Huna point endelea kuzunguka CBD ukitafuta wifi ya bure😀😀Na ni nani kakuuliza? Si ni wewe umeanza kujiharia mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna point endelea kuzunguka CBD ukitafuta wifi ya bure😀😀Na ni nani kakuuliza? Si ni wewe umeanza kujiharia mwenyewe.
Naomba shopping malls za Nairobi😀😀 Kwa picha😀😀Kenya ambayo iko na 3 times the number of malls comparrd to Tz ndo haina competition? ha!
Hebu tutajie malls za Tz zinazojulikana
Nakuona unavyo jipa moyo !! Lakini ulipata breakfast ?? 😀😀LDC hamna usemi on shopping malls, we are on Fleek, just like our S. A bros
vya kwenu ni vya kariokoo, mtaa WA walatope
kuna vitu Tz inaweza kushindana na Kenya lakini hapo kwa formal shopping (supermarket na mall) hapo ni uiname utulie dude lifanye kazi kisha uende zako... bwege la vijiweni!Nikupatie unashindwa jipatie
Mimi sina mambo ya spoon feeding. Weka ni weke pimbi wewe !!
Nikupatie unashindwa jipatieNaomba shopping malls za Nairobi😀😀 Kwa picha😀😀