Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
Huu uzi wataupotea sana [emoji23][emoji23]Hehehehe kali sana hii, we need lots of these all over...will save time when traversing between the buildings.
Majirani njooni mtalii....
Hehehehe kali sana hii, we need lots of these all over...will save time when traversing between the buildings.
Majirani njooni mtalii....
Huu uzi wataupotea sana [emoji23][emoji23]
hii tuko nayo mwaka wa 6 sasa iko ppf tower.
tofauti ni kwamba hiyo ni ndefu zaidi,subiri nitakuletea picha.
Na machinga complexhii tuko nayo mwaka wa 6 sasa iko ppf tower.
tofauti ni kwamba hiyo ni ndefu zaidi,subiri nitakuletea picha.
Akuna cha kutalii hapo ni upuzi mtupi....Njoo utalii na kukenua meno.
Na machinga complex
Akuna cha kutalii hapo ni upuzi mtupi....
Km machinga complex tu lipo crossing air bridge two buildings tena lina cross four line .....endeleni kujua vitu km hivy leo[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1589637
Kupoteza mda na monga ni ujinga....ivi ww alie kudanganya nani kuwa skywalks ni ile iliyo jengwa 20 floors? Akili za kushikiwa shida sana....unamengi ya kujifunza acha ukizuuZa hivi zipo nyingi Kenya, kuna moja nimeiona pale Diamond Plaza wakati nakimbia asubuhi, kingereza huwa kinawatesa sana Watanzania, huu uzi unazungumza kuhusu sky bridges, kitu kinakatiza kwenye orofa ya 20, acheni kuleta mipicha ya footbridges za walalahoi wa Kariokoo.
Za hivi zipo nyingi Kenya, kuna moja nimeiona pale Diamond Plaza wakati nakimbia asubuhi, kingereza huwa kinawatesa sana Watanzania, huu uzi unazungumza kuhusu sky bridges, kitu kinakatiza kwenye orofa ya 20, acheni kuleta mipicha ya footbridges za walalahoi wa Kariokoo.
Kupoteza mda na monga ni ujinga....ivi ww alie kudanganya nani kuwa skywalks ni ile iliyo jengwa 20 floors? Akili za kushikiwa shida sana....unamengi ya kujifunza acha ukizuu
Kwa kifupi[emoji117] sky walks, ni daraja linalo jengwa kukatiza mtaa ili kunganisha two or more building in the urbun ....pia linaweza jengwa kunganisha milima[emoji57]
wewe ni ujinga unakusumbua mzee,si kitu kingine
Hehehe.... eti ndege inaisha mafuta angani, jameni ndege imekua daladala, hivi nyie watu hadi huruma aki..... Ndege ya Air Tanzania iliyotokea Dar kwenda Mwanza yalazimika kurudi Dar na kutua baada ya kuishiwa mafuta ikiwa angani
Its just a waste of my time deals with dumb as your, if this is yout dealy engineers[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706][emoji706]Nyie bado makamasi yanawatoka, hamfai kuzungumza mbele ya watu wazima, nendeni kwanza mkamilishe hizi zindua zindua za lift za kwanza mikoani....
[emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania is a dead state under Magufuli.Hehehe.... eti ndege inaisha mafuta angani, jameni ndege imekua daladala, hivi nyie watu hadi huruma aki..... Ndege ya Air Tanzania iliyotokea Dar kwenda Mwanza yalazimika kurudi Dar na kutua baada ya kuishiwa mafuta ikiwa angani