MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
hujawahi kuona eh[emoji3][emoji3].
Haijawahi kutokea dunia yote, mliingizwa mkenge kununua mindege bila kujua namna hii biashara huendeshwa.....mumeishia kuwa aibu ya Afrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujawahi kuona eh[emoji3][emoji3].
[emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania is a dead state under Magufuli.
Sasa ndege inaisha aje mafuta? Nlidhani mafuta hupimwa ya kutosha kabla ya ndege kuburuka.
Au ishu ikue ni maintainance, ndege inaleak mafuta na haitengenezi pesa za kujifanya repair as needed.
Ndege sio kama daladala lazima iangaliwe after kila safari.
Haijawahi kutokea dunia yote, mliingizwa mkenge kununua mindege bila kujua namna hii biashara huendeshwa.....mumeishia kuwa aibu ya Afrika.
We mtoto wa kiume mbona unawivu Sana na Tanzania ka mwanamke...eh nyie KQ inaendeleaje huko???Kenya Airways had already been going through a period of renationalization since 2017, and so government support would be expected for the struggling carrier which has been contending with mounting debts.Haijawahi kutokea dunia yote, mliingizwa mkenge kununua mindege bila kujua namna hii biashara huendeshwa.....mumeishia kuwa aibu ya Afrika.
kaulize kuingizwa mkenge ni nini,wakenya wenye akili timamu watakuonyesha SGR na lamu port.
Leo hii hata kwenye kampeni mumeshindwa kutetea kwanini mliharibu hela na kununua mindege ambayo inaingiza hasara kila siku, huku Watz asilimia zaidi ya 70% wakiteseka kwa umaskini, sasa aibu mpaka mnashindwa kujaza mafuta, imekua midaladala.
Hehehe aisei mngeruhusu mdahalo na Lissu mngeumbuka sana kwa kweli, hadi aibu.
Akuna cha kutalii hapo ni upuzi mtupi....
Km machinga complex tu lipo crossing air bridge two buildings tena lina cross four line .....endeleni kujua vitu km hivy leo[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1589637
subiri kunyooshwa zaidi,aibu ukaome wewe mkenya!!!!
nyie subirieni kuchinjana kwenye campaign,maana uchaguzi kwenu ni vita.
Kupoteza mda na monga ni ujinga....ivi ww alie kudanganya nani kuwa skywalks ni ile iliyo jengwa 20 floors? Akili za kushikiwa shida sana....unamengi ya kujifunza acha ukizuu
Kwa kifupi[emoji117] sky walks, ni daraja linalo jengwa kukatiza mtaa ili kunganisha two or more building in the urbun ....pia linaweza jengwa kunganisha milima[emoji57]
Naona mkiziba jamaa wanazibua kiaina fulani, mwaka huu mnalo, tumbojoto kwa kwenda mbele......hoi....mwanasheria kawakamata pabaya.
Sema kama nilivyokuambia, tunawaombea ushindi maana utawala wenu haujaonyesha kikubwa zaidi ya kuchimba mikwara huku mkiendelea kuliwa, hatujui huyo mwanasheria utawala wake utakua vipi, anaweza akatuzidi kete na ujanja kwenye hilo shamba la bibi.
Naona yeye ndio kaliona sasa ...akaisi ni big deal[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuja kutuimbia ujinga wake hapa
sisi hatufuatilii maneno yako.
wewe ni kama komandoo anayeamua kuuficha msumali kwa kuukalia[emoji23][emoji23].
katika kipindi cha miaka 35 sasa,haijawahi tokea kenya ikapoteza kujiamini kwa tz kama ambavyo imekuwepo miaka 5 hii iliyopita.na tunasema hivii,tunaongeza mitano tena kwa magu[emoji851][emoji851]
- Kwa miaka mitano ya mikwara yenu, biashara za mauzo yetu kuja Tanzania imeongezeka
- Kwa miaka mitano ya mikwara yenu pengo la kiuchumi baina yetu limeongezeka, tumewaacha mbali
- Kwa miaka mitano ya mikwara yenu Watanzania wanaotumia bandari yetu wameongezeka
Orodha ni ndefu sana inayo onyesha kwanini tunawaombea ushindi, miezi ya kwanza ya awamu hii kiaina nilidhani tutakwenda vibaya maana mlianza kwa kukamata ng'ombe wetu na kutia viberiti kuku wetu, mkawa na makelele mengi, ila nafikiri kuna mtu aliwashauri mtulize mihemko.
Rais wetu amedhihirisha udiplomasia na ukomavu wa hali ya juu, naomba sana atakayechukua baada yake asiwe wa makele na mikwara, ila mwenye busara na kuangalia na kudadavua hali, kujua namna ya kula na kipofu sahani moja.
Footbridge?
kwa miaka 5 mmefanikiwa kupanua GDP peke yake.
Utakua sio mfuatiliaji wa taarifa, ndio matatizo ya mataga wa Lumumba, huwa hampo makini kwenye kufuatilia taarifa zozote, huwa naona kwenye jukwaa lenu la siasa mumeishia mipasho tu kwenye kila hoja, hata kwa mada zinazohitaji akili.