Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Ndege zetu hazili mafuta kama vitz , lita 10 inatosha dar mwanza.. sasa sijui leo imekuaje haki yanani aliye toboa tank atakiona cha moto.
[emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania is a dead state under Magufuli.
Sasa ndege inaisha aje mafuta? Nlidhani mafuta hupimwa ya kutosha kabla ya ndege kuburuka.
Au ishu ikue ni maintainance, ndege inaleak mafuta na haitengenezi pesa za kujifanya repair as needed.
Ndege sio kama daladala lazima iangaliwe after kila safari.