[emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania is a dead state under Magufuli.
Sasa ndege inaisha aje mafuta? Nlidhani mafuta hupimwa ya kutosha kabla ya ndege kuburuka.
Au ishu ikue ni maintainance, ndege inaleak mafuta na haitengenezi pesa za kujifanya repair as needed.
Ndege sio kama daladala lazima iangaliwe after kila safari.
Hio haifai kutokea. Wajinga kama nyinyi ndio mnahatarisha maisha ya abiria kwa kutoweka mafuta ya kutosha katika ndege. Malazy huwa wanazingua sana.hujawahi kuona eh[emoji3][emoji3].
Kuna kitu mnakosa kuelewa, kwanza huyo mwenzako alipoona kachemsha baada ya kuleta footbridge sasa akaamua kupindisha mada..Bora umwambie, kwa hiyo hata Skybrige ya airport ipo eti orofa ya 20??? [emoji23] Halafu yeye ndio mtaalamu wa English kabisa.
View attachment 1590059
View attachment 1590060
Ndege zetu hazili mafuta kama vitz , lita 10 inatosha dar mwanza.. sasa sijui leo imekuaje haki yanani aliye toboa tank atakiona cha moto.