Kenya's virus cases rise to 28,754 as 650 more test positive

Kenya's virus cases rise to 28,754 as 650 more test positive

A reason I said these fellas are fools, from their top leadership to common mwananchi wa Baringo,
Mbinu tulizotumia Tz ingekuwa ni Mzungu katumia ungeona yanavyokimbizana kwa media kuiga kama makondoo vile,
Yamekuwa yakitukana Tz kwa Mitandao tangu mwezi wa nne yakingoja tufe mitaani maelfu kwa maelfu huku wakiwa wamejifungia ndani nakusubiri Mabwana zao wawaletee dawa..
These fools never learn,
Tulipoanza kuelimishana kuboost kinga ya Mwili kwa vyakula vyenye Vitamic C kama pamoja na kufanya steam inhalation, njia za Kiafrica kabisa ambazo hata Mababu zao walitumia waliamka kwa kelele na kebehi mitandaoni,
Sasa ndio wameanza eti kutumia hizo njia.
Ujinga sio kitu kibaya, bali Upumbavu. wakenya ni Wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewadharau sana hawa jamaa, unfortunately huwezi chagua jirani.
 
😉😉
images (9).jpg
 
Vipi siku hizi hatusikii watanzania 80 wamekutwa na covid 19,bwana Mutahi kabwe alikua ananifurahisha sana,hata Kama watanzania hawakupimwa lakini lazima atawataja tu
 
Back
Top Bottom