A reason I said these fellas are fools, from their top leadership to common mwananchi wa Baringo,
Mbinu tulizotumia Tz ingekuwa ni Mzungu katumia ungeona yanavyokimbizana kwa media kuiga kama makondoo vile,
Yamekuwa yakitukana Tz kwa Mitandao tangu mwezi wa nne yakingoja tufe mitaani maelfu kwa maelfu huku wakiwa wamejifungia ndani nakusubiri Mabwana zao wawaletee dawa..
These fools never learn,
Tulipoanza kuelimishana kuboost kinga ya Mwili kwa vyakula vyenye Vitamic C kama pamoja na kufanya steam inhalation, njia za Kiafrica kabisa ambazo hata Mababu zao walitumia waliamka kwa kelele na kebehi mitandaoni,
Sasa ndio wameanza eti kutumia hizo njia.
Ujinga sio kitu kibaya, bali Upumbavu. wakenya ni Wapumbavu.
Sent using
Jamii Forums mobile app