Kenyatta afungua mipaka ili biashara ifanyike Kenya, sasa Tanzania endeleeni na ujamaa muone kiama

Kenyatta afungua mipaka ili biashara ifanyike Kenya, sasa Tanzania endeleeni na ujamaa muone kiama

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
wakuu.
niliwahi kuandika hapa kuhusu mazingira na sera mbovu za kibiashara kwa sasa Tanzania,
hakuna mtu atavumilia kukimbizana na TRA kila leo , wana east africa wengi wataenda kufanya biashara kenya, iwekezaji uyaongezeka kenya.
sasa ninyi endeleeni kusema mnakaza mtauua uchumi jumla na mtakuja kushtuka huku mmeshachelewa na sera zenu za kitoto.
watu wanapenda wageni wapeleke kitu kwao ninyi mnafukuza wageni.
 
sio kujaribu wenzako wanataka mitaji iongezeke kwao
Mitaji inayotafutwa siyo ya wauza nguo za China, au matikiti maji. Wanatafuta mitaji mikubwa, ya viwwanda vikubwa. Kenya hawana jinsi, kwa sababu somehow they have a competitive edge kwenye free movement of labor and capital.
Wakiruhusu walimu wa Tanzania wahamie kwao, wanajua hawatapata kazi. Nobody will hire them, labda wakapige umachinga.
 
Hivi mfano nikiwa fisadi tanzania lakini nikawekeza assets zangu kenya. Mfano lugumi yale majumba take angejengea Nairobi then serikali ya tz ikinishtaki itaweza kutaifisha mali zangu zilizo nje ya nchi?
 
sheria itafatwa ikithibitika ni mali za kifisadi tunataifisha tu
 
Kenyatta jana baada ya kuhapishwa ametisha, amesema raia yeyote wa Afrika Mashariki ruksa kutumia tu kitambulisho cha kura kuingia Kenya na kufanya kazi, biashara na kadhalika, wengi tutaenda Kenya
Umeshindwa kupata Kazi huko kwenu Nanging'ombe unaota utaipata Kenya wakati wa Kenya wenyewe wamejazana hapa kutafuta rizki
 
wakuu.
niliwahi kuandika hapa kuhusu mazingira na sera mbovu za kibiashara kwa sasa Tanzania,
hakuna mtu atavumilia kukimbizana na TRA kila leo , wana east africa wengi wataenda kufanya biashara kenya, iwekezaji uyaongezeka kenya.
sasa ninyi endeleeni kusema mnakaza mtauua uchumi jumla na mtakuja kushtuka huku mmeshachelewa na sera zenu za kitoto.
watu wanapenda wageni wapeleke kitu kwao ninyi mnafukuza wageni.

Inakua ngumu sana kuendelelea
 
Tena biashara hiyo ikiwemo na kufaidika na super talents.
 
Kama ni business sawa ila kama ni ajira wa TZ bado hawawezi compete na Kenyans in the Job Market. Labda uwe na elimu standard kutoka downtown mbelez wit excellent grades.

Ooh Tanzania.
 
Tuache akili za alinacha.
kwa fursa zote tulizonazo Tz tumeshindwa kuzitumia tutaweza kenya...?Hawa jamaa wametuzid kila kitu.Sisi kupata hajira pale kwao ni ngumu kama ngamia kupita.......sindano,kuumiliki ardhi pale ya kenya sio mchezo ujipange mara dufu.wakati tz unawezapata heka 100(pori) kwa laki ama ukapewa hata bure.kule bhna ardhi yote iko occupied tena na hawa weupe,hawa watu fursa zote washazikaba.

Sisi tunaenda kwao kufanya nini..?

Hako ni kaujanja wanataka tuwaone wema na sisi tuwaachie nafasi ya kuingia nchi zetu kirahisi.Hapo sasa ndo patamu.Hajira zote wao,mashamba wao,uwekezaj wao,ardhi wao.

HAKIKA TUTANYOOKA
 
Kenyatta jana baada ya kuhapishwa ametisha, amesema raia yeyote wa Afrika Mashariki ruksa kutumia tu kitambulisho cha kura kuingia Kenya na kufanya kazi, biashara na kadhalika, wengi tutaenda Kenya
Nimekuelewa sana mjomba nitakuja nikipata nauli kwa sasa hakuna zote ziko b.o.t
 
Hivi mfano nikiwa fisadi tanzania lakini nikawekeza assets zangu kenya. Mfano lugumi yale majumba take angejengea Nairobi then serikali ya tz ikinishtaki itaweza kutaifisha mali zangu zilizo nje ya nchi?

Duh, kumbe tupo na mafisadi humu JF!!? Taa Kukuru mpo wapiiii!!!!
 
True asee

Kwanza huko KE ajira zenyewe ziko wapi wao ndio wanaongoza kwa unemployment rates ?? Land hamna.....jamaa anafanya hvyo ili askilizie huku.

Siku mkitangaza kuwaiga tu walichofanya wao hakika mtalia na kusaga meno. Hapana kwa kweli. Kwetu Pazuri. [emoji16][emoji16]
 
Kenyatta anafanya kama mtego tu.. Magu aki-reciprocate hivo, ndani ya kufumba na kufumbua wakenya watamiliki karibu ardhi yote iliyo wazi Tz, maana kwao hakuna ardhi isiyomilikiwa. Wakenya kwa kuchangamkia fursa wako mbali. Mfano, kwa ziwa victoria Tz inamiliki 51% ya ziwa, kenya ni 6% tu, lakini mavuno ya samaki ni almost sawa kwa sawa. Tanzanite zinapatikana Tz tu, ila kwa uuzaji wa tanzanite duniani, kenya ni namba 2 baada ya india.
Kuna siku nilimsikia magu anatamba kuwa makampuni zaidi ya 520 ya wakenya yamewekeza Tz zaidi ya us$ 1.7 billion na yameajiri waTZ zaidi ya 56,000, na hapo milango bado haijafunguliwa sana. Sijajua kwa nini hakufunguka juu ya uwekezaji wa waTZ huko Kenya
 
Kenyatta jana baada ya kuhapishwa ametisha, amesema raia yeyote wa Afrika Mashariki ruksa kutumia tu kitambulisho cha kura kuingia Kenya na kufanya kazi, biashara na kadhalika, wengi tutaenda Kenya
Kama umeshindwa hata kuwa na shamba la korosho au kupanga nyumba pale Posta ambapo wahindi wamejazana uwezi kwenda kuishi apo Kenya. Kule wanatumia akili kuishi na sio apa Tanzania kulalalamika lalamika serikalini
 
Back
Top Bottom