sio kujaribu wenzako wanataka mitaji iongezeke kwaoKajaribu uone.
nadhani somo watalipata maana biashara ni ushindani dunia ya leoNaunga mkono hoja tuko na rais kazi yake ni wivu chuki na asira anaongoza nchi kwa wivu na roho mbaya.
Swissme
Mitaji inayotafutwa siyo ya wauza nguo za China, au matikiti maji. Wanatafuta mitaji mikubwa, ya viwwanda vikubwa. Kenya hawana jinsi, kwa sababu somehow they have a competitive edge kwenye free movement of labor and capital.sio kujaribu wenzako wanataka mitaji iongezeke kwao
sheria itafatwa ikithibitika ni mali za kifisadi tunataifisha tuHivi mfano nikiwa fisadi tanzania lakini nikawekeza assets zangu kenya. Mfano lugumi yale majumba take angejengea Nairobi then serikali ya tz ikinishtaki itaweza kutaifisha mali zangu zilizo nje ya nchi?
Umeshindwa kupata Kazi huko kwenu Nanging'ombe unaota utaipata Kenya wakati wa Kenya wenyewe wamejazana hapa kutafuta rizkiKenyatta jana baada ya kuhapishwa ametisha, amesema raia yeyote wa Afrika Mashariki ruksa kutumia tu kitambulisho cha kura kuingia Kenya na kufanya kazi, biashara na kadhalika, wengi tutaenda Kenya
wakuu.
niliwahi kuandika hapa kuhusu mazingira na sera mbovu za kibiashara kwa sasa Tanzania,
hakuna mtu atavumilia kukimbizana na TRA kila leo , wana east africa wengi wataenda kufanya biashara kenya, iwekezaji uyaongezeka kenya.
sasa ninyi endeleeni kusema mnakaza mtauua uchumi jumla na mtakuja kushtuka huku mmeshachelewa na sera zenu za kitoto.
watu wanapenda wageni wapeleke kitu kwao ninyi mnafukuza wageni.
Nimekuelewa sana mjomba nitakuja nikipata nauli kwa sasa hakuna zote ziko b.o.tKenyatta jana baada ya kuhapishwa ametisha, amesema raia yeyote wa Afrika Mashariki ruksa kutumia tu kitambulisho cha kura kuingia Kenya na kufanya kazi, biashara na kadhalika, wengi tutaenda Kenya
True aseeKama ni business sawa ila kama ni ajira wa TZ bado hawawezi compete na Kenyans in the Job Market. Labda uwe na elimu standard kutoka downtown mbelez wit excellent grades.
Ooh Tanzania.
Hivi mfano nikiwa fisadi tanzania lakini nikawekeza assets zangu kenya. Mfano lugumi yale majumba take angejengea Nairobi then serikali ya tz ikinishtaki itaweza kutaifisha mali zangu zilizo nje ya nchi?
True asee
Kama umeshindwa hata kuwa na shamba la korosho au kupanga nyumba pale Posta ambapo wahindi wamejazana uwezi kwenda kuishi apo Kenya. Kule wanatumia akili kuishi na sio apa Tanzania kulalalamika lalamika serikaliniKenyatta jana baada ya kuhapishwa ametisha, amesema raia yeyote wa Afrika Mashariki ruksa kutumia tu kitambulisho cha kura kuingia Kenya na kufanya kazi, biashara na kadhalika, wengi tutaenda Kenya