USA is developed country usichanganye neno developed and developing hehehe african countries are developing and not developed sasa USA hata akiwa na uchumi wa asilimi 0.7% bado haina negative impact kwenye uchumi wake kwasabbau walishapitia industrialization 200yrs ago alaf kumbuka unemployment rate ya USA is 0.4% while kenya is 40% πππππUSA inakua kwa 1.6 percent...SA inakua kwa 0.3, Nigeria inakua kwa negative -1.5... wajinga wengine wanaskia 7.2 percent wanaona ni kana kwamba wamekuwa first world developed countryπππ
sawa what about SA and Nigeria...hao pia ni developed countries????ππππ yaani LDC kukua kwa asilimia kubwa hivi is not a bid deal... waulize wahabeshi...ethipia ni nchi maskini sana ila inakua kwa asilimia 8-10USA is developed country usichanganye neno developed and developing hehehe african countries are developing and not developed sasa USA hata akiwa na uchumi wa asilimi 0.7% bado haina negative impact kwenye uchumi wake kwasabbau walishapitia industrialization 200yrs ago alaf kumbuka unemployment rate ya USA is 0.4% while kenya is 40% πππππ
nakushangaa ww uhuru kenyatta alisema atajenga ukuta na somalia usinioneshe ukuta wote nioneshe japo tofali moja tuππππ au alijua kujenga ukuta ni kama kula andaziπππ south africa haiko level ya east african countries unapozungumza jua kutafautisha mambo kisominchi inayokua kwa 7.2 inashangilia ujenzi wa ukuta na emergency landing...Afrika Kusini ina kua kwa 0.3 ila ikona the best infrastructure in Africaπππ..ndio ujue mtz ni mtu mjinga sana barani africa..baradhuli wa dunia hawa watuπππ
Unawezaje kujilinganisha na USA.USA inakua kwa 1.6 percent...SA inakua kwa 0.3, Nigeria inakua kwa negative -1.5... wajinga wengine wanaskia 7.2 percent wanaona ni kana kwamba wamekuwa first world developed countryπππ
ukuta sio kipimo cha maendeleo humu bana...mambo ambayo humo mnashangilia huku tunaona kama kawaida tunakushangaa ww uhuru kenyatta alisema atajenga ukuta na somalia usinioneshe ukuta wote nioneshe japo tofali moja tuππππ au alijua kujenga ukuta ni kama kula andaziπππ south africa haiko level ya east african countries unapozungumza jua kutafautisha mambo kisomi
SA and nigeria have big economies alaf sio level yetu wale forget about them walishapiga hatua sana na unapoizungumzia ethiopia ni tishio kwa sasa kwa nchi za africa inakua vzr sana japokua wapo wengi lakin wanajitahidi sana kiuchumi sio nyie munakopa pesa mpaka munatikisa uchumi na kufkia level ya kumkopa athuman na kumlipa mwajumaππππsawa what about SA and Nigeria...hao pia ni developed countries????ππππ yaani LDC kukua kwa asilimia kubwa hivi is not a bid deal...waulize wahabeshi...nchi maskini sana ila inakua kwa asilimia 8-10
what about South africa and Nigeria, Morocco, Algeria, Angola, Ghana, Egypt? sababu hizo ni nchi ambazo bado ziko kwenye kikundi cha developing countries...sasa nyie mnaimba 7 percent hamwelewi kuwa hilo ni jambo la kawaida sana nchi maskini kukuwa kwa asilimia kubwa kiasi hiki...mfano Kenya ilikua kwa 10 percent mwaka wa 2008Unawezaje kujilinganisha na USA.
U.S. GDP $19,953,300
Kenya GDP $67
US economic growth of 1.6% ni sawa na Kenya economic growth ya 70000%
sijakwambia ni kipimo lakin kinaonesha ni vipi nchi inasema na kutenda kama alisema atajenga ukuta akijua atapata mkopo basi alifeliππππ na hii inaonesha vp nchi inauwezo wakutenda jambo kwa kutekeleza inayoahidi siku zote mwananchi wa chini huangalia ahadi zilizopo je zinatekelezwaukuta sio kipimo cha maendeleo humu bana...mambo ambayo humo mnashangilia huku tunaona kama kawaida tu
hahahaha nchi maskini inaweza kuwa hata kwa 20 percent...waulize ethiopia na india...so msione ati mmekuwa developed country kwa mambo madogo madogo kama haya banaSA and nigeria have big economies alaf sio level yetu wale forget about them walishapiga hatua sana na unapoizungumzia ethiopia ni tishio kwa sasa kwa nchi za africa inakua vzr sana japokua wapo wengi lakin wanajitahidi sana kiuchumi sio nyie munakopa pesa mpaka munatikisa uchumi na kufkia level ya kumkopa athuman na kumlipa mwajumaππππ
nawahurumia tu...ukuta na emergency landingππππsijakwambia ni kipimo lakin kinaonesha ni vipi nchi inasema na kutenda kama alisema atajenga ukuta akijua atapata mkopo basi alifeliππππ na hii inaonesha vp nchi inauwezo wakutenda jambo kwa kutekeleza inayoahidi siku zote mwananchi wa chini huangalia ahadi zilizopo je zinatekelezwa
Huu upuzi unatoa wapi uchumi wa kenya uko $86bn wala sio 67.Unawezaje kujilinganisha na USA.
U.S. GDP $19,953,300
Kenya GDP $67
US economic growth of 1.6% ni sawa na Kenya economic growth ya 70000%
South Africa GDP $280.37 billionwhat about South africa and Nigeria, egypt? hizo ni nchi mbazo bado ziko kwa nyanja ya developing country...sasa nyie mnaimba 7 percent hamwelewi kuwa hilo nijambo la kawaida sana nchi maskini kukuwa kwa asilimia hio...mfano Kenya ilikua kwa 10 percent 2008
Vipi mbona uchumi wenu umekua kwa asilimia 7 tangu wakati wa kikwete na hajawai toka kwa $50bn mark sai 2018 ndio ati mnafika $56bn kwenye tulikuwa 2013?....jibu ni rahisi ccm inapika datasijakwambia ni kipimo lakin kinaonesha ni vipi nchi inasema na kutenda kama alisema atajenga ukuta akijua atapata mkopo basi alifeliππππ na hii inaonesha vp nchi inauwezo wakutenda jambo kwa kutekeleza inayoahidi siku zote mwananchi wa chini huangalia ahadi zilizopo je zinatekelezwa
After being well cookedHuu upuzi unatoa wapi uchumi wa kenya uko $86bn wala sio 67.
hio haijalishi...nchi zote hizo ziko kwenye kikundi kimoja cha developing countries....angalia GDP per capita pia...South Africa GDP $280.37 billion
Nigeria GDP $492.98 billion
Kenya GDP $67 billion
How could you even mention them?
There are more than 10 Kenya in one Nigeria
Tafuta uzi ulikuwa umewekwa hapa juzi wa estimates za 2018 uchumi wa kenya uko $86bn na wenyu ndio utafika $56bn huu mwakaSouth Africa GDP $280.37 billion
Nigeria GDP $492.98 billion
Kenya GDP $67 billion
How could you even mention them?
There are more than 10 Kenya in one Nigeria
atakwambia tulipika dataπππthat is very stupid guy..data zenyewe ni za world Bank and IMFHuu upuzi unatoa wapi uchumi wa kenya uko $86bn wala sio 67.
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!