kenyatta amekosa majibu juu ya mwelekeo wa uchumi nchini baada ya kuonekana uchumi kushuka kila mwaka

kenyatta amekosa majibu juu ya mwelekeo wa uchumi nchini baada ya kuonekana uchumi kushuka kila mwaka

nimkwambia hakuna sehem inayochungwa kama airport...so hata airport ya somalia au syria ni sawa tu na airport nyingine kwa usalama...ushaskia wapi airport imelipuliwa au wezi wamekamatwa airport wakiiba? ebu tafta kisha uniletee hapa
kwa faida yako 😀😀😀😀😀
 
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
Ukiwa huna akili ya kufikiri utasema haisaidii kitu

Subiri wakuletee Pesa mkononi mwako ndio use me uchumi umekua
 
cha kushangaza wanafatilia sana habari za Kenya kana kwamba wakimbizi...habari wanazotazama ni za NTV, Citizen TV na KTN..sijawahi kuona watu walio kosa akili kama hawa jamaa🙄🙄🙄mwulize mkenya mmoja akutajie TV station moja tu ya bongo...hakuna anayejua wala kuwa na interest na kujua
We nyang'au mbona umepaniki sana, naona msumali umekuingia kinyume na maumbile. Unabishana na takwimu. Uchumi wa kenya unamilikiwa na watu wa chache. Asilimia tisini mko poor sana na maisha yenu ni kama jehanamu huku mkishangilia eti nyie ni developing country. Siku nyingine ficha nyeti zako nyang'au wa kijani we.
 
nawahurumia tu...ukuta na emergency landing😀😀😀😀
Acha povu na ujue ulimwengu uko wapi! Moja ya sera ambazo USA walizipenda kwa Trump ni ujenzi wa ukuta kati yake na Mexico.

If your Brain serves you so well, you should be able to understand the difference btn a wall and purpose of the wall. Also you need to use at least a small portion of your brain to find out how we benefited from the so called emergency landing, in economic perspective.
 
Utofauti ni huu hapa. USA. Wenyewe walishaputa hatua ya viwanda miaka 150 years kwa hip hata uchumi wao ukue kwa 0.3 bado hawana hasara dunia ya kwanza

Tanzania Na nchi zingine za kiafrica no dunia ya kati Na tatu masikini in wengi mno Na inaitaji maendeleo ya viwanda ili kuongeza uchumi wao Na kujikwamua katika umasikini WA kutupwa
 
cha kushangaza wanafatilia sana habari za Kenya kana kwamba wakimbizi...habari wanazotazama ni za NTV, Citizen TV na KTN..sijawahi kuona watu walio kosa akili kama hawa jamaa🙄🙄🙄mwulize mkenya mmoja akutajie TV station moja tu ya bongo...hakuna anayejua wala kuwa na interest na kujua
Tanzanian they don't care abt Kenyan issues@
 
E!? 😁😁 Mngekuwa mbele ya Kenya kiuchumi watu hawangepumua humu 😁

Ahaaa haaa haaa
Kwani hatuko mbele yenu?
Ninyi mko mbele in nominal term, lkn sisi tuko mbele in real term.
Mfano ni ile GDP yenu ni ya only 10% of you. Sisi Ya kwetu ni very inclusive. Almost 100%.
 
Ahaaa haaa haaa
Kwani hatuko mbele yenu?
Ninyi mko mbele in nominal term, lkn sisi tuko mbele in real term.
Mfano ni ile GDP yenu ni ya only 10% of you. Sisi Ya kwetu ni very inclusive. Almost 100%.
Oh I see! Na bado watoto wanakula kinyesi 😳
 
6 May 2018
Tanzania 7.2%
Kenya 4.8%

May 2019
Tanzania 4.2%
Kenya 6.3%
 
Back
Top Bottom