Kenyatta Amenyimwa Loan ya SGR..Reli mwisho ni naivasha, Wabongo mjitahidi hii ni fursa yenu kufika kampala

Kenyatta Amenyimwa Loan ya SGR..Reli mwisho ni naivasha, Wabongo mjitahidi hii ni fursa yenu kufika kampala

Bakuli limezidi, sasa kubebana wote hao wamerudisha maneno kenya, haya kuna haraka gani reli ifike kisumu kama pesa hakuna kwann msitengeze mikakati ya kujichanga mjenge wenyewe hata uko baadae?middle income kenya inashi ndwaje ka project ka $ 3B[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Watoe wapi pesa wakati wanamadeni mpaka matakoni😆😆😆😆
 
Konza is a city which continues to be under construction. What Huawei is financing is a data centre to be located in that city.

An expressway being proposed/talked about 8 years ago does not mean anything. Haven't you been talking of Bagamoyo for 30 years? Haven't London been talking about another Heathrow runway for decades?

For this road, designs were completed just recently, and funding was what was remaining to get moving.

Meanwhile Tanzania continues to celebrate its first flyover.
Big white elephant nimeanza kuikia konza now 10yrs ago😂😂😂😂 kenyatta kaona aibu kurudi mtupu kaomba asaini karatasi isiokua na maendeleo yoyote ili arudi kimasomaso😆😆😆😆😆
 
Poleni jirani.
FB_IMG_1556304279396.jpg
 
Konza is a city which continues to be under construction. What Huawei is financing is a data centre to be located in that city.

An expressway being proposed/talked about 8 years ago does not mean anything. Haven't you been talking of Bagamoyo for 30 years? Haven't London been talking about another Heathrow runway for decades?

For this road, designs were completed just recently, and funding was what was remaining to get moving.

Meanwhile Tanzania continues to celebrate its first flyover.
Acha uongo project ya bagamoyo ililetwa na serikali ya awamu y nne so ni miaka kama 10 iliyopita tu usi kuze vitu be real sio vitu vya kufurahia ni namna tu kupashana habar za jumuiya
 
Washukuru MChina kuwanyima mkopo. Nchi ingekuwa rehani tayari.
 
Washukuru MChina kuwanyima mkopo. Nchi ingekuwa rehani tayari.
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani hii ishu wanajiuliza wacheke au walie, jibu wanakosa. Mkopo wanautaka na deni lingekuwa zaidi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani hii ishu wanajiuliza wacheke au walie, jibu wanakosa. Mkopo wanautaka na deni lingekuwa zaidi[emoji16][emoji16][emoji16]

Ahaaa haaa haaa
Walifikia mahali ambapo hali haikuwa nzuri SANA. Wangechukua huo mkopo NCHI ingeuzwa kwa MIAKA 100.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani hii ishu wanajiuliza wacheke au walie, jibu wanakosa. Mkopo wanautaka na deni lingekuwa zaidi[emoji16][emoji16][emoji16]

Kenya washukuru SANA jumuiya za kimataifa na kelele za WATU wengine kuhusu hii mikopo ya China kwa Afrika. Kwa hatua iliyofikia Kenya, wangeingia kwenye mtego kama wenzao wa Sri Lanka na Zambia.
Kilicho waokoa wakenya ni kitendo cha China kuona aibu KWAMBA dunia isije ikathibitisha kwamba China inazitega nchi "dhaifu" kwa madeni. Maana China ingetoa mkopo huu. Kusingekuwa na namna. Ilibidi kuchukua vitega uchumi muhimu.
 
Wameunganisha ule Uzi wangu wa MAPARACHICHI deal instead of financing for SGR.
 
Haven't you been talking of Bagamoyo for 30 years? Haven't London been talking about another Heathrow runway for decades?
No one wanted Bagamoyo port to built, unless you talk about few thieves who were involved.
 
China kuona aibu KWAMBA dunia isije ikathibitisha kwamba China inazitega nchi "dhaifu" kwa madeni. Maana China ingetoa mkopo huu. Kusingekuwa na namna. Ilibidi kuchukua vitega uchumi muhimu.
Pia mimi niliwaza China kaona noma kwa kuwa sisi tunajenga yetu tena ya stanadard ya juu kabisa kwa bei nafuu, hii inaleta (? ) kwenye sekta ya ujenzi, hivyo wameona wasijiharibie jina.
 
Wana link na ya zamani(fufuafufua)
Hiyo ya zamani tayari ilikua haina ufanisi ndio sababu walihitaji SGR. Hata kabla ya kuwekeza pesa nyingi bado ilikua haitengenezi faida, iweje sasa hivi ipate uwezo wa kutengeneza faida ya ziada kulipa deni kubwa la Mchina?
 
Back
Top Bottom