Kenyatta Amenyimwa Loan ya SGR..Reli mwisho ni naivasha, Wabongo mjitahidi hii ni fursa yenu kufika kampala

Kuna siku nilisema. Yule mk254 kuzusha kuwa Raila na Uhuru wameenda kusaka mkopo wa SGR ni uongo. Yeye akaanza kusema wameweka tofauti zao pembeni.
Wanazuga tu wale walikwenda kwa nia ya kusaka mkopo mbona raila alisema ilo alipohutubia kisumu
 
Lkn all in all sio jambo la kuchekelea lkn UK angeamua ku pungiza gharama za kuendesha serikalinza kaunti , mishahara ya maofisaa wa govt , i m sure angepata pesa ya kumalizia icho kipande tena very smoothly
 
Si kila mifumo ni ya kwenda nayo, kingine haiendani na uchumi wa nchi.
 
We bwege kweli yaan kupunguza matumizi ya serikali haiendaninna nchi yenu ? Yaannnyie ni nchi maskini kama zilivyo nchi zingine hata nchinmatajiri wanabanaga matumizi ... Your cpmment is so cheap brother serikali nyingi za afrika zina over budget ktk matumizi ya luxiry ambao sio lzm sanaaa yaan PLO Lumumba mwenyewe anaponda mfumo wa kaunti na sio yy tu hata wasomi wengi hapo kenya ..
 
[emoji16][emoji16][emoji16]sikuzuia mkopo kwa uhuru na raila mimi, ni vigezo hamkukidhi, bwege mwenyewe bana.

Usiniletee hasira mimi.
 
Nasikia wamemsainisha mkataba wa kuuziana maparachichi,wachina bhanaa,asa maparachichi hadi pesa yake ije kujenga sgr si dunia itageuka?
 
Wazee wa MAPARACHICHI. Mmefikia wapi kupanda hiyo mimea?
Teh teh teh tihiii
 
wachina ni wajanja hawatoi madeni ovyo, nyie subirini tu, karibuni mtaona rais mchina katika nchi za afrika.
 
Nasikia wamemsainisha mkataba wa kuuziana maparachichi,wachina bhanaa,asa maparachichi hadi pesa yake ije kujenga sgr si dunia itageuka?
Hawa jamaa ni kama wendawazimu, yaani jitu linadanganywa kabisa linasaini mkataba wa kuuza maparachichi.....

Wakenya jiongezeni mnafichwa mkataba uliosainiwa na wa kuiuza kenya[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hapa ni mwendo wa kilimo cha maparachichi tu. Mpaka tuipate SGR.
 
Back
Top Bottom