Watoe wapi pesa wakati wanamadeni mpaka matakoni😆😆😆😆Bakuli limezidi, sasa kubebana wote hao wamerudisha maneno kenya, haya kuna haraka gani reli ifike kisumu kama pesa hakuna kwann msitengeze mikakati ya kujichanga mjenge wenyewe hata uko baadae?middle income kenya inashi ndwaje ka project ka $ 3B[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Big white elephant nimeanza kuikia konza now 10yrs ago😂😂😂😂 kenyatta kaona aibu kurudi mtupu kaomba asaini karatasi isiokua na maendeleo yoyote ili arudi kimasomaso😆😆😆😆😆Konza is a city which continues to be under construction. What Huawei is financing is a data centre to be located in that city.
An expressway being proposed/talked about 8 years ago does not mean anything. Haven't you been talking of Bagamoyo for 30 years? Haven't London been talking about another Heathrow runway for decades?
For this road, designs were completed just recently, and funding was what was remaining to get moving.
Meanwhile Tanzania continues to celebrate its first flyover.
Wacha hasira plz😆😆😆😆😆Usijali tutateleza na parachichi hadi kisumu
Linaitwa pigo takatifu😂😂😂😂Poleni jirani. View attachment 1082060
Acha uongo project ya bagamoyo ililetwa na serikali ya awamu y nne so ni miaka kama 10 iliyopita tu usi kuze vitu be real sio vitu vya kufurahia ni namna tu kupashana habar za jumuiyaKonza is a city which continues to be under construction. What Huawei is financing is a data centre to be located in that city.
An expressway being proposed/talked about 8 years ago does not mean anything. Haven't you been talking of Bagamoyo for 30 years? Haven't London been talking about another Heathrow runway for decades?
For this road, designs were completed just recently, and funding was what was remaining to get moving.
Meanwhile Tanzania continues to celebrate its first flyover.
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani hii ishu wanajiuliza wacheke au walie, jibu wanakosa. Mkopo wanautaka na deni lingekuwa zaidi[emoji16][emoji16][emoji16]Washukuru MChina kuwanyima mkopo. Nchi ingekuwa rehani tayari.
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani hii ishu wanajiuliza wacheke au walie, jibu wanakosa. Mkopo wanautaka na deni lingekuwa zaidi[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani hii ishu wanajiuliza wacheke au walie, jibu wanakosa. Mkopo wanautaka na deni lingekuwa zaidi[emoji16][emoji16][emoji16]
No one wanted Bagamoyo port to built, unless you talk about few thieves who were involved.Haven't you been talking of Bagamoyo for 30 years? Haven't London been talking about another Heathrow runway for decades?
Pia mimi niliwaza China kaona noma kwa kuwa sisi tunajenga yetu tena ya stanadard ya juu kabisa kwa bei nafuu, hii inaleta (? ) kwenye sekta ya ujenzi, hivyo wameona wasijiharibie jina.China kuona aibu KWAMBA dunia isije ikathibitisha kwamba China inazitega nchi "dhaifu" kwa madeni. Maana China ingetoa mkopo huu. Kusingekuwa na namna. Ilibidi kuchukua vitega uchumi muhimu.
Wana link na ya zamani(fufuafufua)Sasa ikiishia Naivasha watalipaje hili deni la mchina?
Hiyo ya zamani tayari ilikua haina ufanisi ndio sababu walihitaji SGR. Hata kabla ya kuwekeza pesa nyingi bado ilikua haitengenezi faida, iweje sasa hivi ipate uwezo wa kutengeneza faida ya ziada kulipa deni kubwa la Mchina?Wana link na ya zamani(fufuafufua)