Kenyatta Amenyimwa Loan ya SGR..Reli mwisho ni naivasha, Wabongo mjitahidi hii ni fursa yenu kufika kampala

Jamani mbona hamtupi updates za KILIMO cha MAPARACHICHI. Ujue sisi ni majirani ati. Kizuri kula na mwenzako.
 
Jamani mbona hamtupi updates za KILIMO cha MAPARACHICHI. Ujue sisi ni majirani ati. Kizuri kula na mwenzako.

Kenya is already Africa's largest Avocado exporter by far. Only South Africa comes close.
Our largest importers are:
1. UAE,
2. Netherlands
3. France
4. Saudi Arabia
5. Russia
6. UK
7. Spain

Now that we have been cleared to export to China, it should join this top list and even hopefully become our biggest export country.
What else do you need to know?

Ahaaa haaa haaa
Bravo Kenya.
MAPARACHICHI for SGR.
 
Mna shida Sana na mijisifa parachichi zenyewe mchukue Tz alafu mjisifu mbele yetu, dawa yenu inachemka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ahaaa haaa haaa
Watalima wapi, wakati ARDHI yote kachukua Kenyatta family na LORD Dalamare.
Hata wewe unaamini huu udaku? Maparachichi na macadamia yanapandwa kwa wingi central Kenya.
Usione watu wamekaa kibera ukadhani hawana kwao. Wengi wao wanataka waonekane wanaishi TAO
 
Hata wewe unaamini huu udaku? Maparachichi na macadamia yanapandwa kwa wingi central Kenya.
Usione watu wamekaa kibera ukadhani hawana kwao. Wengi wao wanataka waonekane wanaishi TAO
Mtaa wa mabanda hapo Kibera umeungua kwa moto, poleni sana. Hao jamaa sasa itabidi warudi ushago kulima maparachichi
 
Hata wewe unaamini huu udaku? Maparachichi na macadamia yanapandwa kwa wingi central Kenya.
Usione watu wamekaa kibera ukadhani hawana kwao. Wengi wao wanataka waonekane wanaishi TAO
Sasa mbona njaa inawatesa kila mwaka?????😳😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…