pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Sasa hapa ndo atakuwa ananyanyua mguu wa Babu yake au? Maanake unapost mipicha bila caption afu baadaye unaanza kusema ungejua huyu ni mke wa babu yake hungesema hayo. 😀 Utadhani ni picha za Jesu kwenye mkate na samaki! We jamaa ni 'fyatu' kabisa. 😀Tena ungejua huyo ni mama yake na Dada yake ungenyamaza, JPM ametoka kwenye maisha ya kawaida sana lakini hana tamaa ya mali ni mtu mpenda haki.
Lakini sio wa kuchekacheka muda woteView attachment 655274