Kenyatta na Nduguze wana mabilioni ya fedha waliyowekeza Uingereza

Walikuwa wanaiba na kununua ng'ombe na mbuzi. Ushamba wao uliwafanya kuogopa kuwekeza kwenye off shore accounts. Ila mama naona amechanuka, ni mtu aliyelelewa mjini. Mama pengine anajua kuficha mali yake vizuri.
Jinga kweli wewe, sasa akinunua ng'ombe na akiweka kwa account za nje, nani mshamba apo.
Mtaibiwa sana nyinyi malofa, yani kama hapo unaona mjanja ni uhuru kuwekeza huko nje.
Mnasikitisha
 

Ujinga, hizo ni hela za kutisha? Tuela gani uto kwa Kenyatta?
 
Sijaona jina la Kikwete, kumbe huwa wanamsakama mzee mwenzetu sababu ya chuki zao, Wala Hana mabilioni ya fedha ughaibuni
 
Kuwa na offshore account siyo illegal. Kwani mkenya au mdanganyika ambaye anaishi USA au Europe na ana-acount ya benki huko inakua ni shida? Ata kama yeye sio raia wa huko.
Kwa mtu Kama Kenyatta na familia yao, hiyo $m30 Ni hela ya kawaida sana
 
Kwa mtu Kama Kenyatta na familia yao, hiyo $m30 Ni hela ya kawaida sana
Au sio! Bank account ya matapiko tambuka mgonjwa ina kutu, hiyo account ata ukipaka grease hela hitelezi.
Fucking cunt!!
 
Hapo sasa sijui lakini ujue tajiri wengi wana offshore accounts. Ni kitu ya kawaida sana.
Mitanzania huwa inasoma mischief kwa kila report where Kenya is mentioned, either positive or negative., Kwani na Tony Blair aliwaibia Waingereza? Namuona kwa list., ama Putin., na ma billionaire zaidi ya 100 wa dunia.., sioni kosa, pengine sheria za nchi tofauti, where it is required to declare all your wealth, offshore or within. Hiyo pesa ya akina Uhuru ni kidogo sana, alafu hedge funds trade on behalf of high net worth individuals, so income yao inagrow exponentially in a shortest time..., in the report naona it mentions trading...,
 
Maullana CEO giza ulale, mwache uhuru ale bata. Au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…