Kenyatta Uhuru kutua Chato

Kila kitu kinachoweza kupatikana DAR kipo pia Chato kasoro machangu tu
 
dah tungependa kumuona UK ndani ya DSM lkn kama akitua Chato ah bac tutamkosa hapa Dsm ..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jiwe kaweweseka...lazima amualike...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Uhuru amejua kwamba Kenya haina ubavu wa kupambana na TZ, ameamua kuja kuungama, wewe endelea na ushabiki wako, siku sio nyingi wewe pia utakuja kuungama madhambi yako, Tanzania ni Mecca/ Jerusalem ya Africa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaomba iwe kaamua kuenda chato mwenyewe...[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Sasa huyu Uhuru naye Kachanganyikiwa aisee
Katoka kumtuma Mjumbe Tena nabarua iliyo andikwa na yeye mwenyewe
Bado hajaridhika kaona Aje mwenyewe
Afu kuna Mbuzi za Kikenya humu zinaleta Dharau kwa Tanzania
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]simple and clear...unanza ku edit ya nn....
 
Ndio hivyo yani, Uhuru Kenyatta anategemewa kutua Chato kwa ziara binafsi na kuonana na JPM.

View attachment 1145609


Tetete huyu jaguar anamtesa Rais wake
Anakujaje kuomba msamaha wakati huyo dictator wenu wa CCM ndio amemualika? Ama hata kusoma pia ni shida Kwenu? Nyinyi wadanganyika ni vichwa maji tu
 
Hao ndo wale warembo watanzania bila make up...bwahahaaa...kisha wanashinda kutupigia kelele wakati kwao air hostess anakaa km muuza makaa
I was going to say the same thing. Hao air hostess wanaweza nifanya nikose hamu ya kupanda ndege
 
Sasa huyu Uhuru naye Kachanganyikiwa aisee
Katoka kumtuma Mjumbe Tena nabarua iliyo andikwa na yeye mwenyewe
Bado hajaridhika kaona Aje mwenyewe
Afu kuna Mbuzi za Kikenya humu zinaleta Dharau kwa Tanzania
Tanzania tutaidharau hadi mwisho wa dunia. Uhuru amealikwa na huyo dictator wenu, hajakuja kwa hiari yake na imeandikwa vizuri sana hapo. Pili ni kwamba hiyo ni ziara ya kibinafsi ndio maana ameenda huko Chato or whatever you call that place. What they'll discus doesn't concern Kenya or Tanzania.
 
Midanganyika ni viumbe vya ajabu sana. Kwa kulazimisha mambo hawajambo
 
MaCCM hamna kizuri msichokipaka tope, hata taarifa za rais wetu kuja kumsabahi JPM tena kwake nyumbani lazima muitie doa kwa majigambo, hehehe.
Iwaingie ukanda wote huu kati ya majirani wenu wote, Kenya ndio nchi mnayofanya nayo biashara kubwa kupita mataifa yote, Kenya ndio nchi pekee mnayochangia lugha, mpaka wa Kenya na Tanzania ndio mrefu kati mipaka yenu yote, Kenya ndio nchi pekee mnayochangia makabila mengi yanayoishi mpakani, hivyo jitihada zote za kutafuta uadui na Kenya mtaishia kuangukia pua.
 
This section of Jf is getting dumber by the day. Bahati yetu ni kwamba huwa tunatumia kiswahili. Bure hata waafrika wenzetu nao pia wangeshangazwa na hizi pumba zilizojaa humu.
Bahati ya kutumia kiswahili ni yenu wakenya kamatungetumia kingereza nchi zote zinge wadharau sana wakenya hata mngeonekana takataka maana nyinyi mnapenda kuwa mbwa wa wazungu
 
Biashara ya kuiba madini yetu nani anataka wezi wanao iba tz wameweka kambi Kenya Kwa kuwekeza wenyewe mnajisifia kuwa taasisi za kimataifa nyingi zipo kwenu kumbe wapo kuiba madini ya tz ndiyo maana madini yote tunayokamata yanaelekea huko Kenya niambie kwanini ?
 
Bahati ya kutumia kiswahili ni yenu wakenya kamatungetumia kingereza nchi zote zinge wadharau sana wakenya hata mngeonekana takataka maana nyinyi mnapenda kuwa mbwa wa wazungu
Kama mngetumia kiingereza, wewe na nani? Kiswahili chenyewe kinakutatiza sasa ukitumia kiingereza si ndio itakuwa aibu tupu? Wakenya wengi humu huwa wanatumia kiingereza, kila wanapotaka kujadili masuala ya maana, bila ya kuwahusisha hawa malofa wenzako. Ona wanavotupia pumba za ajabu humu. Tushukuru mungu kwamba kiingereza kinawatatiza na wageni wakiingia humu huwa hawaelewi mada na hoja za kiswahili. Bure tungejiletea aibu nyingi sana kama watu wa Afrika mashariki. Nenda kule Twitter, uone hoja za maana za wakenya tena wanatumia lugha inayofahamika duniani kote. Alafu pitia kule Instagram, uone pumba juu ya pumba kutoka kwa wtz wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…