joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wewe na wenzio mlikua mnajisifu kwamba GoT inajua kuandika barua na kutumia maneno vizuri kuliko GoK, Barua rasmi iliotiwa saini na mkuu wa mawasiliano ya Rais ikulu ilisema JPM kamualika Uhuru, sasa tayari unataka kugeuza hadithi kwasababu haikufai... ebo!
Hii ujinga ndio Lugha gan!!?Waafrika watu wajinga sana,
Eti sasa wanaume wazima wanabishana Nani aliomba ombi ya kumtembelea mwingine wa kwanza....hiiii ujinga sijui itazikwa lini.
Aibu tupu
Thank you for this well thought out comment...Karibu Rais Kenyatta Tanzania.... This Kenya and Tanzania bashing has to stop cause it is taking us to nowhere. Instead of bickering amongst each other, we should channel our effort and energy in ensuring that we are building prosperous nations. Guys, Tanzania and Kenya badly need each other...
Mbona alionekana tiyar huko MombasaAliosema Jagwa ni maneno tu, Tofauti na huko Tz ambapo Mkenya mfanyabiashara alitekwa nyara jijini DSM na hadi sasa hajulikani aliko... Labda Uhuru kakwenda kukaba koo JPM na hatoki huko Tz hadi huyo mkenya aregeshwa mara moja> Ulifikiria hilo????
Kitu usicho kijua kitakusumbuaJamaa kasema tanzania kuna ng'ombe million thelathini nukta tano.....
Yani nimecheka sana..kwn siku hz kuna census ya ng'ombe au
Rudi shuleJamaa kasema tanzania kuna ng'ombe million thelathini nukta tano.....
Yani nimecheka sana..kwn siku hz kuna census ya ng'ombe au
Kitu usicho kijua kitakusumbua
Tanzania sio Kenya
Tanzania Ilisha piga chata ng'ombe zake
Maana mlizidi kuingiza Hovyo huku
Rudi shule