Kereng'ende zangu zinawasha na kuuma

OHHH REALLY?Mzee wa mishemishe pole sana.
Hili tatizo ulianza kuliona baada ya kuonja mchagga wa ngapi maana umesema wachagga uliowa.... hawakukukatikia kabisa pamoja na kujitahidi .!
 
Mkuu, pole sana. I can imagine how uncomfortable umekuwa kwa miaka 2. Jaribu kuangalia underwears unazovaa, zikupwaye kiasi, ziwe safi na kavu kila wakati. Hakikisha unazianika kwenye jua (so invest, hehehe). Onana na daktari wa ngozi (dermatologist) na kama akishindwa kukusaidia tafuta urologist.
 
OHHH REALLY?Mzee wa mishemishe pole sana.
Hili tatizo ulianza kuliona baada ya kuonja mchagga wa ngapi maana umesema wachagga uliowa.... hawakukukatikia kabisa pamoja na kujitahidi .!

afadhali umwambie mwaya.kumbe mtu mwenyewe mgonjwa!afu ugonjwa wenyewe unasababishwa na uchafu!afu anaponda wachaga kumbe kajaa ma.fa.nga.si
 
hizo kereng'ende a.k.a pumbu ziweke majivu kwenye sehemu zilizoathiliwa na fangasi halafu wewe ni mnene au kimbaumbau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…