Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Wanajf naomba msaada sasa miaka miwili ni kusumbuliwa na fangus wasiopono dawa nilizotumia whitefield , na zingine nyingi hospitali nimeenda na kuchukua vipimo na nikapewa na dawa.lakini mpaka leo pumbu zinawasha sana na kuuma na pia zinatoa vumbi vumbi nyeupe
OHHH REALLY?Mzee wa mishemishe pole sana.
Hili tatizo ulianza kuliona baada ya kuonja mchagga wa ngapi maana umesema wachagga uliowa.... hawakukukatikia kabisa pamoja na kujitahidi .!