Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
1.Nairobi
2.Mombasa
3.Kisumu
4.Nakuru
5.Eldy.
ok vipi kuhusu miji midogo inayofuatia maana hiyo ndo huwa siijui vyema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Nairobi
2.Mombasa
3.Kisumu
4.Nakuru
5.Eldy.
Ni mingi sana kuna kericho,kisii,bungoma,kitale,kakamega,nyeri,meru,malindi,embu,nanyuki na machakos hizo ziko league moja ...after hizo 5 cities ni hizo sasa ,zote zilidevelop after devolution (county government s)ok vipi kuhusu miji midogo inayofuatia maana hiyo ndo huwa siijui vyema
THIKA, NAivashaNi mingi sana kuna kericho,kisii,bungoma,kitale,kakamega,nyeri,meru,malindi,embu,nanyuki na machakos hizo ziko league moja ...after hizo 5 cities ni hizo sasa ,zote zilidevelop after devolution (county government s)
But I must say, since devolution, these small towns are booming and becoming cities. Some small towns have everything siku hizi. Malls, gated communities etc. And you can enjoy your life ukiwa out of the big cities. And the government has done well kutengeneza all the roads and street lighting, Kenya generally looks more developed than ever before
Nice one ila mambo ya kutegemea central government huchelewesha maendeleo kweli...Ni mingi sana kuna kericho,kisii,bungoma,kitale,kakamega,nyeri,meru,malindi,embu,nanyuki na machakos hizo ziko league moja ...after hizo 5 cities ni hizo sasa ,zote zilidevelop after devolution (county government s)
Ni mingi sana kuna kericho,kisii,bungoma,kitale,kakamega,nyeri,meru,malindi,embu,nanyuki na machakos hizo ziko league moja ...after hizo 5 cities ni hizo sasa ,zote zilidevelop after devolution (county government s)
Its actually 1 million![]()
![]()
Kericho tea Marathon is held yearly and the winner usually goes hom with Ksh 100000
I agree with you kwa kiasi, Kenya and Tz have relatively comparable populations and Kenya's area is approximately half that of tz, for this reason it is more likely to have many towns in Kenya than Tz because of density.Nimefika Naivasha,nyeri,kiambu,thika,nyahururu towns na ni very big towns...sema zile umeskia but kenya kuna towns mingi sana zimedevelop
![]()
![]()
Kericho tea Marathon is held yearly and the winner usually goes hom with Ksh 100000
Nimeshindwa kabisa kupata such a list, and I dont think it exists really. Our towns are ranked in terms of population, not in terms of area size or infrastructure. I dont think anybody has ever gone out of their way to assess the towns on those aspects.Unaweza kunipa list ya miji ya kenya kutokana na ukubwa.
nimependa mji ulivyo.
Kericho kweli inakomaa kwa kasi! tuipe tena miaka tano na imekuwa city kamali![]()
US Army Medical Research Unit, Kerich
![]()
![]()
![]()
Kimugu River Lodge
![]()
![]()
![]()