KERO: Baadhi ya Walimu wa boarding sio waaminifu

KERO: Baadhi ya Walimu wa boarding sio waaminifu

Ticha anayefanya hivyo karma itamrudia na yeye kwa maana atazaa na atasomesha watoto wake......
 
Wewe hujielewi, na ni miongoni mwa matapeli, unafikiri kila shule ipo mjini. Shule ipo km kadhaa kutoka mjini, kwa hiyo afunge safari ya masaa manne kwa ajili ya kutoa ela, na shule hawaruhusu mwanafunzi kutoka tu kiholela nje ya shule, pesa ya matumizi wanataka zitumwe kwa walimu. Au Haujasoma Boarding itakuwa.
kwa ushamb na ujuaj wenu z4tagongwa kla sku. Na hamna cha kuwafanya walimu na mama samia amewapandisha madaraja kimya kimya. Mairha matam
 
Back
Top Bottom