Kero binafsi kuhusu wanaume kuvaa nguo za kubana

Kero binafsi kuhusu wanaume kuvaa nguo za kubana

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
4,486
Reaction score
8,098
Wanaume kuvaa visuruali vya kuwabana, inamaanisha nini? tunajua wadada huvaa vinguo vya kuwabana ili kuwaonesha wanaume maumbile yao; je, mwanaume naye huwa ana lengo lipi?

Nasema hivi nikizingatia kushamiri kwa ushoga now days! Fashion? Labda ni ya kutokea kuzimu. Kuzimu imetumia watu wa Magharibi kuichafua sana dunia. Sisi ni kuiga tu bila hata kujiuliza! Fashion?

Jesus is Lord & Saviour
 
Kuna wengine wanajibana mpaka tunaona mafundo ya nyeti zao haipendezi, wengine Wana makalio makubwa tu na wanayabana haipendezi, wengine Sasa imebanwa na bado mlegezo na wasivyo na miguu zaidi ya spoku za baskeli, wabadilike
 
Wanaume kuvaa visuruali vya kuwabana, inamaanisha nini? tunajua wadada huvaa vinguo vya kuwabana ili kuwaonesha wanaume maumbile yao; je, mwanaume naye huwa ana lengo lipi?

Nasema hivi nikizingatia kushamiri kwa ushoga now days! Fashion? Labda ni ya kutokea kuzimu. Kuzimu imetumia watu wa Magharibi kuichafua sana dunia. Sisi ni kuiga tu bila hata kujiuliza! Fashion?

Jesus is Lord & Saviour
Inasikitisha sana, wanavaa ywakubana nao wanaonesha walivyo maashala
 
Attachments

  • 91174d28-e99f-410a-a887-1fd7c9936177.jpg
    91174d28-e99f-410a-a887-1fd7c9936177.jpg
    76.7 KB · Views: 23
Back
Top Bottom